Wanaume weusi vs wanaume weupe

Wanaume weusi vs wanaume weupe

nikuunganishe na Kundi la muziki la WEUSI?? Utachagua umpendae..

BTW nini hasa kinakufanya utupende sisi wanaume weusi/maji ya kunde?
 
sipendi msichana 1)anayesuka au kuvaa wigi,2)mvaa suruali 3)mweupe 4)maneno mengi5)sio mcha mungu6)kujipost mtandaoni sana7) kupga picha na kujiedt,,.. kiukweli navutiwa na msichana anayenyoa afroo yan wananmalzaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom