Wanaume weusi vs wanaume weupe

Kweli kabisa hata mm. Ingawa zamani nilikuwa nakutana na weupe ila sikuwaiga kuwapenda sasa huyu black american kiboko yao.
 
UBAGUZI WA RANGI HUO,MUONE KWANZA[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Wanaume wengi wanawapenda wanawake weupe na wanawake wengi tunapenda wanaume weusi japo mi sio mbaguzi wa rangi sipendi tu weupe sana kama wazungu
 
I love black men jamani mimi uwiiiiih. . Yani mwanaume akiwa mweupe naona kama ana mapungufu
 
si kila unachopenda weww na wenzako wanapenda.... kila mtu ana taste yake, wenzako pia wanajiuliza swali kama ulivouliza wew cjui utawajibu vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…