Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

Sio wanaume tuu hata wanawake weusi.
Katika mapenzi ni wamoto sana
 
Bora tu uwape mahopu, manake wanaume wa Dar (Mji wa Daudi) kwa kujifanya waManga.. Sio kwa kujichubua huko...!!

Ukiwauliza wanajitetea eti, wanakunywa sana maji.
 
Asante kumbe tunapendwa..
Mno! Kipindi bado sijaolewa kuna mbunge mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi fulani fulani, alikuwa na marafiki wengi sana wakizungu, mmoja akatokea kunidondokea, na mwisho akataka kunioa kabisa anipeleke kwa Bushi enzi zile. Japo ilikuwa fursa nzuri sana kimaisha ila niliamua tu inipite, kwasababu nina uhakika 100% ile ndoa ingenitesa sana kwenye suala zima la kitandani, ningekua mchepukaji sugu kwasababu mi nikiwa na mtu mweupe sipati hata zile hisia za uongo na kweli.

Marafiki walinisema sana kwamba nachezea bahati lakini mwenyewe nilijua ambacho kingenipata.

Ila wanaume weupe msione tunawabagua, kuna wengine wanawapenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…