Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,252
- 24,089
Sikumbuki kama niliwahi leta Uzi humu unao muhusu bro mmoja Hivi ni mtoto wa baba mdogo kiukoo ila ki umri ana nizidi kama miaka 9 Hivi.
Huyu bro mke wake (shemeji) amempa uhuru sana.Iwe kwenye nguo, kuzurula nk.
Yaani mwanamke ukikutana nae kitaa huwezi amini ni mke wa mtu.
Mavazi anayo vaa yanambana kiasi kwamba Pichu inaonekana.
Mwanamke anajicrimu Hadi kumeza vidonge awe mweupe au aongeze hips.
Bro alimfungulia biashara duka la mazagazaga.
Huyu bro Kwa kifupi aliferi sana. Na hawezi kubadirisha kitu.
Kwa sababu ya uhuru aliompa mke wake ameshazaa na kamsela karusha season (movie) tu
Mimi nikiwa mtu wa kwanza kabisa kujua. Tulikuwa kazini tunapiga story na msela yule (mpiga mimba) kama mjuavyo wanaume kwenye mademu Huwa hatufichani. Msela akasema asee nimepiga mimba mke wa mtu ....
Nikauliza wapi Tena ndo akaniambia mke wa fln Msela alikuwa hajui kama Mimi na bro ni ndg wa damu yaani Babu ni mmoja.
Daah baada kuambiwa vile nilihisi uchungu kama Mimi ndo nimechapiwa asee ila nilijikaza kiume nipate za ndani zaidi....
Nikawa na mbishia Msela kiaina akadai wapo nae miezi zaidi ya7 Hadi Sasa....Nikiwa Bado nahitaji USHAHIDI zaidi jamaa akachomoa smart yake na kunionyesha picha na video wakiwa room na mke wa bro. Aisee sikuweza kuvumilia kuendelea kuangalia ikabidi Nimwambie Msela unakula pazuri asee mshikaji akasema niliwahi kumtema maana nili mfuma na txt anatoka na jamaa mwingine!!😂
Wakuu imagine jamaa anafuma mke wa mtu then ana muacha yaani anapiga chini huku wewe ukiendelea kuwa naye huku anayemzibua huko kashampiga chini kosa kamfuma na msg za jamaa mwingine.
Sasa Hivi jamaa anasomesha hizi shule za magari ya njano na hajui kitu.
Mtaani bodaboda wanajua mbaya zaidi yule mtoto kafanana sana na msela halafu bro hata hashituki.
Kisa kingine ni jamaa tunafanya kazi nae. Ni rafiki yangu wa karibu sana japo namzidi miaka kama 4 Hivi.
Nilisimamia harusi yake Kwa % kubwa sana Hadi kuiwezesha vile hakutarajia hivyo nikajenga uaminifu mkubwa sana kwakwe na Kwa mke wake pia
Huyu yeye ni mlokole wakufa na kufufuka japo ana Element za uanaume halisi nikimaanisha Kuna baadhi ya mambo kapiga marufuku kama kuvaa nguo za ajabu ajabu na makundi ya mitaani nk.
Alichokosea ni kumwambia mshahara wake kuwa analipwa sh ngapi yaani Kila kitu anajua kuhusu mkataba wa mmewe.
Baada ya muda kadhaa kukaanza kuchemka mle ndani mwanamke anahoji Hela Huwa zinaishia wapi ?
Mwanaume alijieleza kilokole hakueleweka kabisa akituhumiwa ana familia nyingine Hadi aseme Hela zinaishia wapi!
Basi baada ya majibu kutokupatikana mwanamke yule akaenda kwao (mama yake hakuwa na Mme)
Baada ya siku3 jamaa akaniambia nimpigie simu mke wake arudi ama twende nae tumfuate tukayatatue Kwa mama yake na mke wake.
Nikamwambia kwenda siwezi kwenda kama Kuna sababu zaidi ya hii iseme niipime kama naweza kwenda. Akasema ni kesi hiyo hiyo.
Nikamwambia naomba nimpigie simu hapahapa kabla hujaondoka usikie kama una familia Nje ataisema tu kama huna utajua tu Mimi hawezi nificha kitu.
Basi nikampigia akapokea nikamuuliza habar za hapo nyumbani akajibu nzuri tu Shem nikamwambia nilikuwa hapo sijakta mtu upo kweli akasema nipo nilikuwa kanisani tu mara Moja na Sasa nimerudi nipo Shem!
Duuh nikashangaa kudanganywa vile .. nikamwambia sikia Shem nimeambiwa na mtumishi kuwa haupo mna mgogoro ....alikataa akasema nikweli sipo ila hatuna mgogoro wowote!
Nikaendelea kumwambia je una uhakika mtumishi anaweza kukusingizia au kunidanganya ? Nimwamini yeye au wewe ndo mkweli?
Ndipo akasema kweli yote na sababu kuu Hela hazioni zinaenda wapi.
Nikamuuliza unajua mshahara wake akanitajia Hadi akasema Kuna muda anafanya overtime analipwa zinafika Hadi kadhaa!!
Kuna kipindi pia Huwa mna bonus lakini cha ajabu Hela Sioni zinaenda wapi!
Nikamuuliza kwahiyo akipokea hanunui hata dawa mswaki shemeji? (Lengo ataje vitu anavyonunua kutoka kwenye mshahara)
Kweli alisema kuwa Huwa wakipiga mahesabu ya vitu vyote vilivyofanyika jumla haifiki hata m2 na mshahara wa jamaa ni m2 laki3 tu.
Kwanza alikiri kuwa hupewa Hadi laki3 kama matumizi yake binafisi baadae wanafanya mambo mengine ya kifamilia lakini Bado Hela haifiki sawa sawa na anavyolipwa.
Nikamwambia kama wewe unapewa laki3 je yeye akijipatia laki6 kama Hela yake binafisi atakuwa kakosea na unataka ujue kaifanyia Nini?
Je wewe Huwa anakuhoji kuwa umetumiaje Hela Ile?
Tuliongea mengi sana Kisha Nikwambie kumbuka shemeji sisi wanaume tunategemewa sana na ndg zetu hasa sisi tulio kwenye ajira.
Nina uhakika kabisa mtumishi anamaliza mwezi mzima bila kununua hata boxer1 je ni uongo?(Akacheka) Akajibu kweli.
Nikamwambia sikia Shem Kuna Wakati hata sisi Kwa sisi huku kazini Huwa tunasidiana mwenzetu anapokuwa na shida na siwezi Kila kitu
Nikamwambie huku kazini kumpa laki mwenzako kama ana jamu si jambo la kujiuliza mara2 Kwa hakika siwezi kuja kumwambia mke wangu.
Ujue shemej hapo hamna biashara yoyote Ile hivyo Kila kitu anachonunua anategemea mshahara wake je kwenye mahesabu yenu Huwa mnakumbuka kujumurisha sadaka na michango ya kanisani?
Je Huwa mnakumbuka kujumrisha Yale matunda anayokuja nayo akiwa anatoka kazini?
Umewahi kukumbuka hata kile kiberti Cha mia Bado hutoka kwenye mshahara wake?
Hizo vocha mnazotumia zinatoka wapi Shem? Ukipiga hesabu kama yeye anatumia bando la buku Kwa siku maana yake yeye peke yake anatumia30 je wewe kama unatumia bando la buku3 Kwa siku unatumia sh ngapi Kwa mwezi?(90000) Una zikumbuka?
Je Yale makato anapofanya miamala Wakati wa kutoa Huwa unayapigia hesabu hayo yote?
Nilimuuliza maswali mengi sana Kisha akajibu kwaweli Huwa najumrisha Hela kubwa kubwa tu
Nikamwambia unajua dada Yako(mke wangu) sijawahi kumpa laki3 afanyie mambo yake Kila mwezi?
Wewe hii Bahati kwanini unataka kuichezea kiasi hiki?
Sikiliza shemeji Mimi nakushauri Kwa sababu tu nakupenda nahitaji muendelee kuwa na familia lakini kama angeenda kumwambia mtu mwingine angemwambia unasumbuka Nini oa mwanamke mwingine.
Huoni hata hapo kanisani Kuna mabinti wengi wazuri tu wanahitaji kuolewa?
Nakuomba kesho urudi upesi sana kwako na muda huu na mtafuta mtumishi nikae nae Nimwambie nimeongea nawewe na kesho unarudi!
Tulikubaliana Kwa uzuri kabisa tukiwa na mtumishi hapohapo aliyasikia yote mwanzo mwisho akanishukuru sana.
Kisha nikamgeukia hapohapo nikamwambia Mtumishi ulifeli wapi Hadi mkeo ajue maswala ya mkataba wako?
Kwanini ulikubali ajue kipato chako na uwe unampa laki3 ya dezo tu Kila mwezi?
Nikamwambia kama unataka kujua huyu mkeo ana Nia ya kuishi nawewe Kwa Sasa hiyo Hela laki3 acha kumpa mwambie majukumu ya familia yameongezeka uwe unampa 50k au hamna akinuna usimpe hata mia mchele mafuta nunua wewe sokoni chukua boda apeleke home.
Hakikisha hata mia ya sindano anakuomba wewe.Ulokole Sasa weka pembeni vaa uanaume halisi kama mama mkwe ndo alikuwa anampa akili utajua Hivi punde na ukiona Kuna kauli zinatoka Kwa mama mkwe chukua maamzi magumu au nishirikishe.
Nikamwambia kazi Yako na mshahara wako ni vyako wewe na kamwe mshahara usiwe chanzo Cha kuharibu na kuvunja ndoa Yako.
Simama kama mwanaume halisi usikubali kuyumbishwa na mwanamke hata kama amekuzalia mapacha hakikisha kabisa hakuyumbishi.
Nikawa nimemalizana na jamaa yangu huyu.Baada ya muda mambo yalienda vizuri mno hapo kwakwe siku Moja nikaenda kula chakula kama haikuwa xmass basi ni New year ndo nikamtania shemeji vipi kama usingerudi nani angetupikia chakula kitamu hiki akaniambia shemeji acha watu Wana wivu sana walikuwa wananiambia ana familia Nje ila ulivyoniambia na kuniuliza vile vi Hela vidogo vidogo Hadi nilijiona mjinga kabisa.!
Kasheshe ipo Kwa huyu bro mke wake anaye gawa utamu Hadi kuzalishwa!!
Mwanamke anakuwa online Hadi mida ya usiku wa manane.
Kumwambia ni ngumu sana hii issues anaweza kuua..
Ninyi wanaume wenzetu uhuru siku zote una mipaka yake.
Sisi ambao hatucheki na wowote sio kwamba hatuwapendi Wala si Kwa sababu tulioa Kwa Bahati mbaya au tunawatesa hapana kaeni mkijua tunaishi nao vzr sana kuliko hata ninyi.
Najua mtakuja hapa kusema hata kama ukimfungia ndani utamu atagawatu ni kweli atagawa lakini Si Kwa kiwango kama Cha mwanamke Aliye na uhuru asiye na mipaka yaani haijulikani kama ni mke wa mtu wa ni barmed utofauti upo mkubwa sana.
Niliwahi kuishi na watoto wa shekh mmoja kwenye nyumba Moja ya geti tulikuwa wapangaji wote.
Wale mabinti nilikuwa nawajua Mimi tu mitaani! Maana walikuwa wakiwa nyumbani wanajiachia na zilikuwa pisi kweli kweli (mengine sisemi)
Ni kwamba hao mabinti pamoja na mama Yao unaweza kuwasilimia hata mara2 Kila mmoja ukijua ni yule yule maana mkikutana mtaani hujui huyu ndo nani Hadi muongeleshane ndo uwajue Kwa sauti.
Nimemaliza