Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,702
- 19,592
Kwenye hizi biashara zenu mlizowaamini wake zenu wasimamie kuna mengi tunayaona. Mkeo atakuwa anafikika kiurahisi,imagine jamaa unamkuta anaongea na mkeo wanacheka,wewe ukifika tu wote kimya alafu jamaa anaondoka! Watu mbalimbali wenye hela,vyeo swaga watampata kirahsi sana,na ukimfatilia sana atakwambia hao ni wateja wake! Dawa ya haya ni kuwa mwanamke ni pambo la ndani,si vema mwanamke kumfungulia biashara, mke wangu hapan kabisa.