Wanaume wenzangu pokeeni ushauri huu

Wanaume wenzangu pokeeni ushauri huu

1640856108665.png
 
Level ya fertility inatofautiana toka kwa mtu kwenda kwa mtu.
Namshangaa Sana mtoa mada.

Kwa uelewa wangu wa ellimu ya uzazi.

shahawa inahitaji angalau isogezwe kina fulani ikalibie na Njia ya kizazi ili kutungisha mimba kirahisi.

Vinyinevyo shahawa ziwe nyingi, zimwagwe juu juu zipambane Zenyewe kupgelea kufikia kwny kizazi.

Sasa kwny withdraw,
Shahawa nyingi zinamwagwa nje

Logic ya vijitone vichache vilivyomwagwa juu juu TU kutungisha mimba inakua Ni kwa asilimia kidg Sana inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshangaa Sana mtoa mada.

Njia zingine zote zina madhara,,...sasa yeye anafikiria mabaharia wote hatuwezi..

Kama anashindwa kwenda na tarehe basi ahakikishe wazungu anawaacha nje...
 
Back
Top Bottom