Wanaume wenzangu pleeeease...!!!

Wanaume wenzangu pleeeease...!!!

kwa hiyo ktk mahusiano ss ndo tunakosea sana ? sisi peke yetu ndo waovu ?
Wao pia wanakosea,tena sana tu,ila Fanya uchunguzi katika ndoa yako.utagungua nani mara nyingi huwa chanzo.nani huwa hakubali kosa.
Nani hayupo tayari kumuomba msamaha mwenziwe akimkosea.
Nani hugeuza makosa yake kuwa ya mwenziwe!?
Hope utagundua mara karibia zote mwanaume ndio chanzo.ila mwanamke akitaka kujirudishia ndio huonekana!
Ila wengi hawajirudishii,wanagugumia tu.wanalia na kufuta machozi kabla ya kutoka nje!
Usiniulize nimejuaje.

Kama wewe unamfanya mkeo awe na amani,naamini wewe utakua na amani zaidi yake.
Na hivi ndio tunatakiwa tuwe.na ndivyo tunavyopenda mabinti na dada zetu waishi. Au unasemaje mkuu!?
 
Ni kweli
 
Nyie ndo mnatuingiza ktk hayo maovu
Unataka nikutafutie pesa, nikusafishie, nikupikie, nikuzalie halafu nikubembeleze kama nabembeleza Mungu ili niwe mke mwema, ndo hapo ambapo uvumilivu unapotea. Mie sivumilii kama hao wengine najipenda sana. Nakupa muda tu fanya yako, chapa lapa.
 
hizi kuta nne zinaficha mengi sana pia wamama wamepewa uvumilivu sana ila yakiwazidi utatamani ardhi imeguke uingie ndan kujificha. Ninawaheshim sana pia ninawapenda mnoo
 
Sasa nikifanyiwa yote hayo nisipokuwa muhaminifu na mnyenyekevu kwako si nitakuwa Nina matatizo sikatai kama ss sio waovu ila kwa kiasi kingine nyie pia mnachangia
 
hizi kuta nne zinaficha mengi sana pia wamama wamepewa uvumilivu sana ila yakiwazidi utatamani ardhi imeguke uingie ndan kujificha. Ninawaheshim sana pia ninawapenda mnoo
Kweli sana! Wanawake wanahitaji kuheshimiwa asee!
 
Back
Top Bottom