Wanaume wenzangu msitume nauli

Wanaume wenzangu msitume nauli

Utapigwa parefu labda kama unabodaboda wako.
Wanabodaboda zao sehemu za buku wakija wanaongeza 5000 juu... utaskia foleni ilikuwa refu tukazungukia njia ya kwa mtogore

Napatania bei kabla ya kuanza safari.
 
Mi kuna mwanaume nampenda,nataka nimtumie nauli aje kwangu..

Hope hatoniangusha.

STUNTER alisema wanaume ni kama mazombie, mbele ya P hayapindui.
Hakuna mwanaume anayeweza kukimbia na "nauli" yako. Kwanza kwa umario wa miaka hii atakuganda hadi shetani akimbie. Lakini na wewe utapewa "huduma" za uhakika ili um-keep.
 
Mie kuna binti aliniomba nauli ya ishirini elfu nikatuma. Siku ya siku akasema gari lilimuacha na alikata tikiti kabisa ila akasema atasafiri kesho yake. Kufika kesho yake binti anasema anablidi na tumbo linauma. Ikawa hivyo hadi leo inaniuma sana hela yangu kila nikifikiria
 
Pole mkuu. Hauko pekeako
 
Back
Top Bottom