Wanaume wenzangu hii ikoje

Kijana achana na mawazo potofu, huyo ndio mkeo sasa. Jiandae kumpokea na kama una doubts basi zungumzeni.
 
yawezekana wewe unamwona umeshafika huna choice nyingine lkn mwenzako anaona bado yupo kwenye kudanga, wewe unaona umepata mke yeye anaona bado nichunguze, wadada wa hivyo hawawezi kukupa wewe priority... anaweza akakupa excuse mpaka ukaishia kuteseka mwenyewe, imagine usipigiwe simu baadae sana kama masaa sita kupita uambiwe ''we vipi unalalamika mno, ah nilikua nakata kucha'' 😀😀😂
 
Achana nae huyo. Hakufai ata kama mbususu hausiswi lakini hapana ni NO!
 
Una machaguo mengi tu,uendelee naye ili muendelee kuzini,umuache ili kulinda heshima yako,au uwe naye kama bosheni.


Ila inaonesha unapenda deni sana,toa nadharia ya kupenda tafuta maisha yko
 
Mbinu moja ndogo...atashusha mzigo mwepesi sana ( kimiminika chepesi)
Ya pili kubwa ni hatari siisemi hadharani.
Mweeeh!! Basi kiseme mafichoni.
 
Ni maamuzi tu
 
Kumbe uliwahi kucheat wewe. Ebu tupe sababu ya kucheat. Na kwa nini uliruhisu kugegedwa na mtu usie mpenda?
Hakuna sehemu nimeandika nimem cheat mtu,experience nnayozungumzia ni kumpenda mtu kiasi kwamba,hata ukitaka kumcheat huwezi,yani unampenda mtu mpaka ukitongozwa na wanaume wengine unaona tu kama wanawake wenzio,kwanza unaona kumcheat ni dhambi,nasema tena ukiona mwanamke anakucheat HAKUPENDI,elewa hapo bwana mzabzab
 
Nabisha kuwa kukaa muda mrefu bila sex hakuna madhara, inawezekana miezi miwili ni michache sana watu wanaokaa hata miaka without doing it ila hii ni kwa wanawake tu,lkn wanaume hawezi,it's a nature.
Hawezi kukuelewa huyo. Watu wanaotaka kukulana kila dk hawaelewi hii kitu tunaishia kuitwa wagonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah roho inauma mbaka kifua.. afu nimeona ni dharau ya karne yani atoke kule aje atombewe wilaya ambayo nipo!
Hakuna maumivu makali kwa mwanaume kama yale ambayo umejiandaa/umempanga demu aje umtafune halafu anakuletea sababu zisizoeleweka kuwa hatatokea...thrn unamcheki kwenye simu hapatikani...dah maumivu yake hayaelezeki...kifua unaona kizito kinabana hasira zinajaa mpaka kwenye unyayo dadeki...ila nini mwamba , mahusiano na hawa viumbe yanahitaji mawasiliano...ukimsahau tu nae anakusahau...yule aliyekaribu nae siku zote ndie anaetunukiwa mbususu. Toka december mpk march unategemea anatunza tu genye zake kukusubiria ww??
 
Mtu hana ndoa hana mpenzi unataka awe analiwa tu na yoyote kisa ana nyege? Mtu kama kajiamulia no ngono mpaka ampate huyo mwanaume/mume unashangaa kitu gani? Kwa nini mnaamini ngono ndio maisha? Ngono inaendekezwa sana ndio shida ipo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay kwa hiyo jamaa anafaidi tuu maana amependwa
 
Mwee ebu kwendraaaaaaa hukooo🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa ngono sio maisha toka lini? Empires have fallen becoz of ngono.
Wee mwenye mpaka kule kwa rikiboy ukatubless na kastoey katamu😜

Wee besty yangu na kwa harusi yako nitachangia million ila plz tusiseme maneno mbofu mbofu bwana kwani andunje na wewe mnatuzamanaga tuu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…