Wanaume wenzangu hii ikoje

Nenda kwenye post zangu utaona.. usiombe yakukute
Ukahaki ni yeye Uzi nimeuona! Sometimes watu wanatumia picha za watu. Kwanza mlikutania mazingira ya kuuziana huduma?

Mi dogo tulikutana safarini mbaka tunaacha yuko safarini kurudi wilayani kwake.
 
Ukahaki ni yeye Uzi nimeuona! Sometimes watu wanatumia picha za watu. Kwanza mlikutania mazingira ya kuuziana huduma?

Mi dogo tulikutana safarini mbaka tunaacha yuko safarini kurudi wilayani kwake.
Mkuu nlitoa hadi tamati, ni yeye
 
Mkuu suala la kumpenda mtu nilikuwa sijivungi, huwa naingia mazima ila baada ya hili tukio ndio nimejua Nazi haivunjwi kwa ugoko, utaumia tu
...Noma sana sema sometimes unaweza weka Uzi seriously na wanazengo wakaona Kama Hadith tu
 
Kwa wengine sijui ila kwangu navyoelewa mapenzi yanakua yameisha. Wanawake sio wepesi kucheat kama tulipenda kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sista kama ukija kuzaa mtoto wakiume, hata siku moja usijemwambia hivi, hasa kwanyakati za sasa😂😂😂. Nani anayemjua anayempenda kweli, naasimame juu na anyooshe kidole😂😂😂, basi kwakuwa hakuna vivyohivyo na mtoto wa kiume aishi akijua muda wowote anaweza kugeukwa au kucheatiwa. Awezaye kumtofautisha mdangaji na mke mwema kwakipindi hiki hakuna basi kila mmoja na aishi kwa tahadhari.
 
Kula mzigo temana naye, huyo mtu aliyekuwa naye ni mwanaume
Na ndio kampa hio 150k sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…