Mkuu ngoja nikusaidie kuliweka bandiko lako kisayans...
Kuna sifa(characteristic)nyng tu za human ngoja tuangalie hiz kupitia psychiatric
1/Hypomania(mania)
sifa ya watu hao
:ni mfupi,kifua kipana,mchesh,hatulii sehemu moja anapendelea nguo za kuonekana sana na pia ana high Libido(kuwa na hamu ya Ku do mapenz sana)
Mara nyng huota kitambi,,km ni demu anashepu sana na mkiweka ahad(promis) lazima aje never cancel a Promis May be iwe tatizo lko njee ya uwezo wake,,unaweza pia ukajichunguza au ukamchunguza demu wako km ni mfupi hana complications sana ukimwambie aje mageton.
2/Schizophrenia
..mrefu, shingo ndefu they hav long extremities
Low Libido,,hawana time sana na mapenz japo they satisfy more thn any one kwenye sex,na anapendelea zaid mapenz ya sir..hapend show off
Huwa wamapenda kuahirisha mambo,,cancel the Promis km ni demu anaweza kuja geto siku usio tegemea na mlpanga aje siku fulan km unademu mrefu jaribu kumchunguza...
Kwahiyo tabia na hulka za mtu huwa zinaendana na maumbile yake pia jins alivyo tu