Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Wanaume wenye tabia hii naomba muache

Mshikemshike

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
421
Reaction score
210
Habari wana Jamii Forums.

Kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukumu ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba.

Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni.
 
Habari wana jf, kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukum ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba. Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni
Chunguza mapema maana karibia msimu wa matangazo ya KIBONDE unaisha usijefurahia kumbe ujumbe unakuhusu. Kama huyajui please uliza nikumegee japo moja.
 
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU
 
Heshima kwako.
 
​ukiona manyoya..................ujue keshaliwa huyo, kaa chonjo
 
Dada kama ni kila siku, inaweza kuwa kuna kitu kinaendelea. Lakini kama ni baadhi ya siku hiyo, haina shida. Kiafya usiku mtu hutakiwi kushiba sana, maana hakuna kazi kubwa unayofanya. Usidanganywe na maoni ya watu wasiokuwa na ndoa kama yanavyoonekana hapo juu, mume ni wako, wewe ndo unamfahamu zaidi kuliko mtu mwingine. Unapaswa kuchunguza kwanza kabla ya kuchukua hatua ya kuamka na kula chakula chote hadi kuvimbiwa kama alivyokushauri Nivea.
 
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU
Wewe ni nooooma, Mh! hadi uvimbiwe?
 
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU

Hahhaha.hii imenchekesha sana.eti nakiamkia usiku saanane.spati picha i say.nahis huyo aleshiba anachekeaga ndani ya shuka(mda ukikiamkia hicho chakula)
 
Aisee...hv kwanini humu duniani vitu vipo tofauti-tofauti? Wengine tuna-wish wake zetu muwe hivi lakini tumekumbana na wanaofikia kulala wakitoka kazini. Tunaishia kula chakula cha hausigeli!

Hv haifai kubadilishana wanawake?
Na nyie wanawake mnaofanyaga haya,muwafundishege na wenzenu basi, waume wengine tunaumia
 
Nkipata mke kama wewe..hata njia kuu iwe na folen vipi schepukiiii..ila wake wengine wanakera na vyakula vyao bora ata housegirl..unakuta kwenye mboga linyanya hilooo lipilipili hohoo hilooo kama sikio la ngurue...sjui kukata kata hajui sjui kuivisha hajui..sometimes bora useme umeshiba tuu..
 
​ukiona manyoya..................ujue keshaliwa huyo, kaa chonjo

msipende kukariri, binadamu tupo tofauti, kuna wengne sio wapenzi wa misosi kwahyo akila chakula mda mbovu ndio hali tena mpaka kesho. Na kuna wengne akitangulia kunywa pombe kabla hajala msosi unakuwa haupandi tena....
 
Aisee...hv kwanini humu duniani vitu vipo tofauti-tofauti? Wengine tuna-wish wake zetu muwe hivi lakini tumekumbana na wanaofikia kulala wakitoka kazini. Tunaishia kula chakula cha hausigeli!

Hv haifai kubadilishana wanawake?
Na nyie wanawake mnaofanyaga haya,muwafundishege na wenzenu basi, waume wengine tunaumia
Duuu! Kweli wewe mfawidhi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom