Wanaume wenye papara huwa hawafanikiwi

B

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
3,684
Likes
187
Points
160
Age
44
B

big_in

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
3,684 187 160
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Profile picha inajieleza wewe ni nani?
 
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
504
Likes
453
Points
80
Wazolee

Wazolee

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
504 453 80
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliwa kuliwa tu iwe baada ya siku au wiki au hata mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844