Wanaume wenye Ndoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mihangaiko tu my dear...my time is getting tighter japo namiss kuwepo humu sana.
Pole ndiyo utu uzima huo ila fanya urudi bhana wewe na cute b mlipotea hadi niliwamiss eti ila cute b amesharudi bado wewe naona unaingia kwa manati
 
Umejiona ulivyo mbinafsu!
Waza siku una stroke na wewe yeye afanye hivyo utajisikiaje?

Maisha ya ndoa ni kuvumiliana shida na raha.

Hivi hao watoto si ni wako?
 

Hapa nakubaliana na wewe kabisa kwamba Mwanamke anaweza kuolewa kwasababu anafaa na siyo kwasababu anapendwa, ndiyo maana Mchepuko anaweza kupendwa zaidi ya Mke wa Ndoa.
 
Upuuz tuu, kuna mmoja nilimuuliza kwann unachepuka akasema mke wake analea..nikawaza ivi namm nikiolewa nikaanza kulea mme wangu ndo achepuke!!!
Siwalaum sana lakin mana mko ivo kiasili hasa ukijiendekeza asubuh mmesimma mnaitaji game usiku pia mnasimama mnataka tena yaan dah Mungu ni kama kuna sehem angepunguza ivi au😃
 
Wanaume wenyewe wanajua hilo sio wote waliooa walioa kwa sababu wana mapenzi ya dhati kwa wanawake waliowaoa kuliko wengine.

Watu wana sababu za kijinga sana za kwanini alioa alie nae na ndipo utagundua michepuko haiwezi kuisha na sio kila anatembea na mume wa mtu anatumika tu wengine wanapendwa na wana nafasi kwenye mioyo ya mwanaume kuliko mke alie ndani.

Ila kama uliemuoa ulimpenda michepuko ya kazi gani?
Ni nini yani unachokifuata nje ambacho mkeo hakutimizii?
Wanaume wapunguze tamaa. Haina haja ya kuoa binti wa mtu halafu unaenda kumchanganya na visungura tope mtaani tena utakuta mtu mwingine ana mchepuko mbayaaaa wakati ndani ana mke mzuri tu
 

Shoga kidawa, huu utabaki ukweli mchungu mpaka pale wapiga ramli wa JF watakapokuja kukupa majina wanayoyajua wao. Mi binafsi nitaendelea kueleza uhalisia hata kwa gharama ya kusimama upande wangu pekeyangu.

Ujiandae....
 
Kwa mfano mi nimpendae siko nae kwa kuwa hakuwa chaguo la familia. Sema tu anajitambua na ameheshimu ndoa ya mwanamke mwenzie. Leo hii angekuwa mchepuko wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…