baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 213
Mwanaume sharti uwe shababi sio kila kitu ndiyo,lazima ukikoroma mwanamke aseme yesUzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi
*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
Ukikosa msimamo mwanaume bora usimiliki mwanamke sababu utapelekeshwa tu na huruma huruma labda akiwa kwenye msiba na matatizoMwanaume sharti uwe shababi sio kila kitu ndiyo,lazima ukikoroma mwanamke aseme yes
yakhe! mie nacheza na kitabu tu kipi kina nini yakhe hapo
yakhe! Mie natumia kitabu tu ATI, kitabu gani na kina nini hapo ndipo utakapo rudi humu kuomba ushauri, mashengwena......inshallah
Bad boys ni watamu asikuambie mtu, waanwaumiza visokolokwinyo wanaowekeza kwenye mapenzi.....
Mie mapenzi ni burudani sio uwekezaji
unakulaje nnya wakati we ni Ke?hata mavi mi nakula tu......
mwanamke hampelekeshi mwanaume mwenye huruma, anampelekesha mwanaume zoba.Ukikosa msimamo mwanaume bora usimiliki mwanamke sababu utapelekeshwa tu na huruma huruma labda akiwa kwenye msiba na matatizo
Hongera mtani, nakukubali sana.Nina huruma sana...
Umeonaee eehmwanamke hampelekeshi mwanaume mwenye huruma, anampelekesha mwanaume zoba.
watu siku hizi wanajikuta makauzu full kuigiza mara wanavuta bangi wanapiga madem zao wanawatukana eti ndio uwanaume, mimi kwa huruma zangu alizonijalia Mnyaz Mungu inabidi niwafariji tu madem zao mana hamna namnaUmeonaee eeh
Serious?Nawapa pole hao wanawake, asante mungu kwa kunipa mume mwema,
Zoba kivipi?mwanamke hampelekeshi mwanaume mwenye huruma, anampelekesha mwanaume zoba.
Mkuu ukishakuwa pombe huruma unaitolea wapiwatu siku hizi wanajikuta makauzu full kuigiza mara wanavuta bangi wanapiga madem zao wanawatukana eti ndio uwanaume, mimi kwa huruma zangu alizonijalia Mnyaz Mungu inabidi niwafariji tu madem zao mana hamna namna
unamuona mkeo anakupanda kichwani we unachukulia poa tu huo ni uzoba, mkumbushe kidogo nani ndani ya nyumba alieumbwa na muhogo.Zoba kivipi?
pombe ni tulizo la moyo namba mbili, namba moja mamsapu.Mkuu ukishakuwa pombe huruma unaitolea wapi
SOMOE NAKUSALIMIA.........Ukitaka ku play games, bora bad boys, lakini ukitaka raha na aman, na kuishi maisha marefu, good boys are dammmm asikuambie mtu
Safi sana mkuu 50/50 isiwe too muchunamuona mkeo anakupanda kichwani we unachukulia poa tu huo ni uzoba, mkumbushe kidogo nani ndani ya nyumba alieumbwa na muhogo.
Good boys ain't ma choice tehUkitaka ku play games, bora bad boys, lakini ukitaka raha na aman, na kuishi maisha marefu, good boys are dammmm asikuambie mtu
Ha ha ha ha kama hujui kutiana heri utafute pa kufanyia mazoezi kwanzaEvelyn Salt, mi siku tukiwa chumbani nawe, jongoo anaweza kushindwa kupanda mtungi. Nahisi, unaweza kunishushua.. We kikaniki ndio kutiana gani huko!!? Ebo
Hata sisimizi ana wife, sistay awayno you stay away, I gotta wife