Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,435
Mwanamke mwenye kiburi hicho ujue rasilimali ni zake. Hapo ni kumshauri aondoke, kumtimua hawezi.Wanaume wote wote ni polygamy by nature, huyo mke wake ni Malaya tu,Wala asiwaze amtimue aondoke aende kwa huyo boyfriend wake, Mimi Nina wake wawili na sio muislam.
Umeongea ukweli.Mwanamke mwenye kiburi hicho ujue rasilimali ni zake. Hapo ni kumshauri aondoke, kumtimua hawezi.
Ndio uwatafute wanaopenda kukuliza sasa unasubiri nini si unapenda kumwagwa machoziHalafu wanaume wanaopenda kujilizaliza siwapendagi basi tu yani π€¨π€¨
Umeoa kwenye bomaMimi Nina wake wawili na sio muislam.
Hapana mbali mbali mkuuUmeoa kwenye boma
βοΈ
Mbali mbali vipi kimila au kiserikali?Hapana mbali mbali mkuu
ππππKama chido mwenye ndo uyo kwenye picha, Basi MKE wake ana huruma sana
Sahii kabisa[emoji4]Hizi ndoa wanawake wakiacha kuvumilia hakuna itakayodumu.
Jamaa hata kuitizama camera bado hajiamini, vipi mkewe uko chumbani[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe maujuzi umewezaje hili,Wanaume wote wote ni polygamy by nature, huyo mke wake ni Malaya tu,Wala asiwaze amtimue aondoke aende kwa huyo boyfriend wake, Mimi Nina wake wawili na sio muislam.