Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,128
Frankly speaking,baadhi yetu wanaume hatupendi ile michoro mieusi inayonakishishiwa kwa ina kuchora maua mikononi na mpaka miguuni,natambua kwa wengine ni urembo lakini wengine hatuifurahii kabisa tofauti na mategemeo ya watumiaji,unamkuta msichana mrembo sana mtoto white alafu anajiharibu kwa hiyo ina,wengine weusi wanapaka hiyo rangi iliyo na weusi yaani badala ya kuwa mrembo zaidi inakuwa kinyume chake.