Wanaume wengi ni wajinga


Haha nakubali kuwa kuna matajiri wanatumia simu za kawaida kama Nokia tochi, ila kuzuia betri ya simu na raba bendi huo ni umaskini MAGO
 
Wanaume wengi ama wachache? Labda wajinga wa mtaani kwenu...!
 
kwani we basha ako akikutoa out huwa kiasi gani kinamtoka?
 
Sasa huyo 1 ndiyo amekuleta mbio hapa kututuzi eti wengi tu wajinga..?
 
Uo ni ufujaji
Alafu vi chipsi vyako anakula kidogo anabakiza na soda nayo anagusa kidogo anaacha. Kuna watu ni wafujaji
 
NIMEKUSKIA.NGOJA NITAIPELEKA KWENYE KIKAO CHETU.



ILA UKOME KUTUITA SISI WAJINGA, WANAUME SISI NI WALIMU/ MAFUNDI NA LENGO LETU NI KUILA PAPUCHI KWAIO USIZIDHARAU NJIA TUNAZOZITUMIA
Na kikao kitafanyika saa saba kasoro includes Baba yake....
 

Mkuu umetiririka mengi sana halafu mazito yaliyobeba uhalisia uliopo kwenye maisha yetu ya sasa.

Binafsi si support harassment ya aina yoyote ile iwe ni dhidi ya mwanamke au mwanaume i don’t condone it in any way.

Lakini nikija kuangalia kizazi chetu cha leo kilichokumbwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili, naona matukio kama hili lililo mkuta Naomi sio ya kuisha leo na tutaendelea kuyaona sana tu.

Siku hizi nidhamu ni kitu adimu kwa wana ndoa wengi na hasa kwa wale ambao tayari wamekwisha kaa kwa kipindi kirefu wakazoeana, mara chache sana unakuta wanaheshimiana yaani ni dharau mtindo mmoja, na hali inakuwa mbaya zaidi kwa upande wanawake.

Wanawake wengi(Yes wanawake na sio wanaume) now days wana play kama competitors ndani ya ndoa na sio kama washirika tena, wako too overconfident,wako too unapologetic,wako too argumentative,wako too inconsiderate n.k

Na wanafanya hayo yote ilihali wakifahamu kuwa wao ni dhaifu mbele ya mwanaume na ikitokea mkajikuta mko kwenye mfarakano mzito katika mazingira ambayo hakuna mtu wa pembeni anayeweza kutoa msaada, yeye ndio anakuwa kwenye nafasi kubwa ya kuumia kama ugomvi utatokea.

Tunafahamu kuwa mwanamke ni ngumu sana kuwa wa kwanza kurusha kibao, lakini mdomo wake ni zaidi ya kibao kwa hiyo wewe mwanaume utajikuta unarusha kibao mwenyewe tu. Na kwa kufanya hivyo mpaka hapo utakuwa tayari umeshaipanua vita haitakuwa ni ya huyo mwanamke pekee tu, bali sasa itakuwa ni vita yako dhidi ya mataasisi ambayo ndio kichocheo kikubwa cha wanawake wa kizazi hiki kukengeuka.

Simaanishi kuwa wanaume ni malaika wasiokosea, hata wao pia wanaweza kuwa chanzo cha tatizo na wakachukuliwa hatua. Ninachowahasa wanawake ni kuwa kama unaona umemchoka mwanaume, kuliko kuanza kumpanda kichwani kwa kumfanyia visanga ni heri umuache tu bila shari maana ukijifanya wewe ni alpha female tena kwa mwanaume ambaye hataki upuuzi ana linda ego yake basi jua unajitengenezea mazingira mazuri sana ya kukutwa na kile kilicho mkuta Naomi au kinachokaribiana na hicho.
 
He kaka wakiitwa wa kushobokewa na wewe utatoka? Punguza vichambo mtoto wa kiume utavalishwa chupi shauri yako au umeshaanza kushikishwa ukuta?

i never imagined this side of yours!

....hehehe ngoja tuchunge vidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…