Wanaume wengi ni wajinga

Dawa yako gunia 2 za mkaa na petrol 10L Bhaaaaasi!!!!
 
Kumbe ilikua hivyo!

Ni kweli kabisa...na mara nyingi tunaoona huo ujinga ni watu wa nje
Ndio ilikuwa hivyo uncle.

Mwanamke anayejielewa lazima aheshimu kidogo anachopewa na mpenzi wake haswa mpenzi ambaye anapata pesa katika mazingira magumu mno.


Tuchukulie mfano kuna mtu kwa siku anaingiza elfu kumi tu ,elfu 7 nzima akampa mpenzi wake yeye akabaki na elfu 3 tu ambayo elfu moja ya nauli yake ya kazini siku inayofuata elfu mbili kwa ajili ya chakula,

halafu kuna mwingine kwa siku anaingiza laki mbili ,elfu 30 akampa mpenzi wake yeye akabaki na laki moja na sabini ,kwa mwanamke asiyejielewa ataona huyu wa pili anampenda kwa dhati na anajua kuhudumia kuliko wa kwanza lakini ukichunguza kwa makini yule wa kwanza ndiye anayejua kuhudumia na kujali zaidi kuliko wa pili.
 
Wanaume katika utetezi wao sasa hao ni wale wanawake mlio waoa baada ya kumuacha yule aliyekusitiri ukaoa yule asiyekusitiri
 
Kabisa!

Anakuwa anafanya kwa mapenzi...kwa kidogo alichonacho anajaribu kumfanya mpenzi wake ajisikie na uspecial fulani

Umeongea point, kwa anaekupenda hata mkitoka out kwa buku mbili mkanunu maji ya buku buku anaridhika coz anaona jinsi unavyoonesha upendo na kumjali. Kitendo cha kutoka pamoja na kwenda kutulia sehemu tu ni faraja tosha kwa wapendanao.
Ila kwa madanga ujipange, coz wanapenda ufahari na kuonekana zaidi.
 
Wanaume katika utetezi wao sasa hao ni wale wanawake mlio waoa baada ya kumuacha yule aliyekusitiri ukaoa yule asiyekusitiri
Wote tuna makosa mbona kuna wanaume wamewasitiri wapenzi wao, wengine waliwachukua wakiwa choka mbaya mpaka wakamsomesha lakini walipomaliza na kupata kazi wakawaacha? Hiyo sentensi uliyoandika hata wanawake wanafanya sana.
Watu wote wangekuwa wanaswali hili kwenye vichwa vyao "Kama nafanyiwa mimi, nitajisikiaje?" Dunia ingekuwa salama sana.
Naona ukiona gunia za mkaa moyo wako unashituka sana. Leo nimeleta gunia 3 za mkaa nyumbani ila wifi yako naona kama ana wasi wasi maana kuna kipindi alinicheat nikamsamehe. Ngoja niende nipate bia mbili au 3 nione cha kufanya.
 
Angalia usimkate shingo ukajinyonga .
Dawa ni rahisi naijua ya wanawake wanaotoka njee .
Wal sio kupiga
 
Angalia usimkate shingo ukajinyonga .
Dawa ni rahisi naijua ya wanawake wanaotoka njee .
Wal sio kupiga
Ha ha ha ha naona unaanza kumtetea mwenzako. Siwezi kujinyonga maana Tz ni kubwa sana naweza kuondoka na wasinikamate maana najua sehemu za kujificha. Watu waliompiga risasi Tundu Lissu hawajamakatwa mpaka leo, mimi ndiyo nikamatwe. Haitatokea
Hebu nipe hiyo dawa ya mwanamke anayetoka nje?
 
😂😂"jungle justice" magunia ya mkaa sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…