Wanaume wengi ni wajinga

Tena siyo sehemu ya maana , ni zile chips za barabarani kwenye mabanda. Unanunua unakaa kwenye bench la mabanzi, au unafunga unaenda kulia nyumbani.

Sasa hapo mtu na 10,000 anakwambia babe jiandae jioni tunatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mtoko wa maana tu huo
 
Sema kuna baadhi ya watu ni wajinga. Husijumlishe wanaume wote.

Kama ni hivyo hata wewe ni mjinga kwa kitendo chako cha kujifanya mwanamke wakati wewe ni mwanaume.
 

Kumbe ilikua hivyo!

Ni kweli kabisa...na mara nyingi tunaoona huo ujinga ni watu wa nje
 
Kama ni hivyo basi wanawake (baadhi) ni WAPUMBAVU unakubalije outing ya mwekundu? Labda kama mnaenda outing ya kwenye vibanda vya gongo na wanzuki... Kiteremshio ni utumbo wa kuku, vichwa na makanyagio
 

Ameshapigwa mtu kibuti tayari. Hela yake ule na baadae umuone zoba!
 

Interesting.....
 
Wachache wenye akili haituhusu.

Ila umeongea points za kufa mtu kabisa.
 
Duuuuuh balaaaa asaaa
 
Ndyo maana tunawagonga chapa kama ng'0mbe na kuwa bwaga na usisahau 80% ya wahanga wa kuimia na mapenzi n nyie ke ,hao wanaume wanao somesha wnawake enzi hiz labda utawapata chato na roriondo kwa babu
 
Wape vidonge vyao 👯
 

Wewe leo umeongea madini ya dhahabu tupu mwanzo mwisho.ulikuwa wapi siku zote Cute Cindy
 
Wanaume wanatumia nguvu kujionesha kwa watu kuwa hawahongi,mara waite wenzao mazoba,Wao ndo wahongaji wazuri hata ujanja hawana.
 
Kama ni hivyo basi wanawake (baadhi) ni WAPUMBAVU unakubalije outing ya mwekundu? Labda kama mnaenda outing ya kwenye vibanda vya gongo na wanzuki... Kiteremshio ni utumbo wa kuku, vichwa na makanyagio
Nimechekaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…