Bakwata Ndio hiyo inazungusha mambo badala ya kusuluhishaMkuu, labda kama anachokihofia ni kwa sababu za kidini, kwamba atakuwa anazini kwa kuwa na jamaa kabla ya talaka. Ila kama ni kwa sababu za kisheria, adhabu atayopata muoaji mpya ni kulipa fidia kwa mume halali, ambapo mtu kama unampenda unaweza tu kufanya, kwamba nitamuoa na kulipa hiyo fidia kama jamaa atadai.
Nafikiri sababu hasa ni za kidini, ndio maana hata suala limechukua muda mrefu huko bakwata, wakati lingeenda baraza la kata tayari angekuwa ameshapata barua yake na kuingia mahakamani kuomba talaka. Nimewahi kuambiwa kuwa wanawake wa kiislamu hutishiwa kuvuliwa uislamu wao ikiwa watapeleka masuala ya ndoa nje ya bakatwa, kwa hiyo wengi huogopa hilo na kuendelea kusubiri process za bakatwa. Njia rahisi kabisa ilikuwa ni kwenda baraza la kata kwa ajili ya suluhu
Ndio maana nimeshauri angetemana nao hao bakwata aende baraza la kata walipofungia ndoa au anapoishi mwaka. Simple, mchezo unaishaBakwata Ndio hiyo inazungusha mambo badala ya kusuluhisha
Inshu sio watoto, inshu n mama yao.Saivi mwanamke ashakuwa mjanja ana uwezo wa ku access kila sector ya utafutaji ndo maana wana hasira mtu wakiachana mwanaume ndo kutwa kubwabwaja km dem vile yaan vifua hawana sasa mwaka keshasahau km ni mwanaume na watoto kazaa na yule bibie akibaki hana nyumba watoto wanaishije
Sheria ya ndoa ya kiislamu.Inatambua kuwa kila mtu yaani mke au mume,kwenye ndoa kila mtu ana Mali yake.Mwanamke hajakatazwa kuwa na Mali zake.Mke ana haki ya kupata haki ya jasho lake alilochangia kwenye mali iliyopatikana wakati wa ndoa iwapo ndoa itavunjika kama inavyoelezwa katika kifungu cha 114.
Siyo kwetu tu... Masomo yote sekondari na chuo mwanamke tuna msoma hivyo.Ndio ulivyofundishwa kwenu
Mwanamke Ana haki zake , vp kuhusu haki za mwanamumeKaandikishwa kisheria ile nyumba na mwanamke hajataka kugawana mali zingine zozote kamuachia Yaan tuishi wote uniache bila kitu na watoto wangu na una wake wengi na watoto kibao
Mwanamke ana haki zake
Sijaelewa hapa ndugu PendaeliNielewe tena , ukiona mwanaume mbaya kwa mwanamke ujue ubaya umetoka kwa mwanamke, hakuna mwanamke mwema anae Kutana na ubaya wa mwanaume.
Hujaelewa kitu gani?Sijaelewa hapa ndugu Pendaeli
Case closed, keep us out of your misery 😂Is your man men? Are we your man? Is your man us? Are we him? Is he we? Is he us all? Have you tried us all? Have you tried Rashidi, Joseph, Smith, Thomas, Jololo, Hamis, Matthew, Choja? Sister/Mother, leave us out of your misery brought to you by your boy coz not all men do that.
View attachment 2581729
Sababu iliyomfanya mke wa mwaka aondoke ni nini?mtu unajijua uwezo huna alafu unataka kuaminisha umma kuwa unayaweza, Dr Mwaka kazingua sana