Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,006
Reaction score
72,305
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.

Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
 
Screenshot_20230117-164635.png
 
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja,?
Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri ,vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake,ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
@Dejane usijumuishe ubaya wa mwanaume mmoja kwa wanaume wote ilikupata uzuri wa wanawake ambao kwao hakuna zuri la moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom