Wanaume wengi ni majanga........

''First impression may be the last''. Sasa tukingoja mara ya pili na yatatu isipotokea si inakula kwangu. BTW waschana hujiandaa kwa kutongozwa na hii si muujiza akitongozwa kwa mara ya kwanza na mtu usiemjua. Kama ingekuwa kutongozana ni mpaka ukutane mtu mara nyingi mahusiano ingekuwa ngumu sana kuanzisha kwa baadhi.

Ukweli ni kwamba, ikitokea umekutana na mrembo usipomtokea lazima ajisikie vibaya. Hapa ndipo domo zege inatajwa, ukitumia heshima nyingiiiiii na ukweli mwingiiiii always tarajia kupoza fursa.

Ukae ukijua kwamba sio wote wanaokutokea wanakupenda kiukweli, wengi wao wanaondo nuksi na wengine wanafanya mazoezi wasije kusahau mistari yakutongozea.
 
vipi wanawake ambao akikamata namba yako tu keshakuzowe mesji mpaka usiku wa manane? hili siyo suala la wanawake badlikeni wala wanaume badlikeni, ni suala la mtu binafsi usijumuishe.
 
Ulitaka mkutane mara ngapi ndio utoe namba? hiyo kuonana mara nyingine mtaonana vipi bila kupeana namba ili mpeane ahadi! kwani ukitoa namba, mwisho wa siku mwenye maamuzi si wewe!!! Thread nyingine hazina maana hata chembe....
FB imevamia sana hiki kijiwe, siku hizi hakina hata hoja za maana. Watu wanakutana siku ya kwanza na wanagegedana, tena baada ya hapo msitafutane tena! itakua kutoa namba!!!!:A S embarassed:
 
ebu weka picha yako tuone kama unafaa kuombwa namba siku ya kwanza.
 
mbona huwa hamuishi kusema ohh beby naomba unitumie pesa nimedondodha cm yangu ya touch oh cjui nn aahgh mm ndiiyo maana huwa na wapiga 2 na ukidai pesa tu napiga chini
 
Weee nawe ndio wale wanaodhani kila mtu anataka kuwatongoza. Hata mtu akikuita 'dada' ili akuambie umedondosha kitu/nguo imekaa vibaya au imechafuka/ au hata kukuuliza kitu unalipuka "kaka nkome ehhh, usinzoehh zoehh.".

Kwani kwako simu inatumika kutongoza na kutongozwa tu basi?Mtu akikuomba namba jua lengo lake, then kama hutaki kutoa usitoe. Easy!
 
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

Come on don't undertake everybody for granted aisee! Nkikutana na wewe njiani nkakuomba namba ya simu haimaanishi kuwa nakupenda yawezekana nimependa company yako na nataka tuwe marafiki thats all. Sasa nyie madada zetu siku hizi mnafikiria kupigwa miti tu si mambo mengine na kama wewe ni omba omba lazma miti upigwe tu cos everything has a price...! Na thread yako inaonesha wewe ni miongoni mwa wanawake wenye mawazo mabovu sana ------- zako!
 
bahati haiji mara mbili. ukikutana unachukua namba ili mtafutane
 
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

Ni kweli tupu ndugu. Kuna Housemaid mmoja hapa mtaani kwetu kajaaliwa kijungu cha hatari kila mwanaume anayekutana naye anamuomba namba ya simu. Cha ajabu hata wababa ambao ukiwaona utadhani wana heshima zao wanamuomba namba. Na wote wanaomuomba namba lazima aje kuniambia. Hapo ndipo nilipo conclude kwamba asilimia 98 ya wanaume wote ni majanga kwelikweli!
 
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

Usipompa hiyo no atakukaba?? Ni kweli baadhi ya wanaume majanga but baadhi ya wanawake majalala pia!!
Iweje ugegedwe na wanaume mia kidogo??
 
Sa huo ndo mwanzo wa kujuana shosti au umesahau kuwa ni Urafiki, uchumba kisha ndoa.

Sure kujuana kwanza then mengine yafuate... so kuomba namba at first sight sio majanga...
 
vipi wanawake ambao akikamata namba yako tu keshakuzowe mesji mpaka usiku wa manane? hili siyo suala la wanawake badlikeni wala wanaume badlikeni, ni suala la mtu binafsi usijumuishe.

Nani huwa anaomba namba?
 
sio majanga,

huo ndo uanaume..........

stuka na utambue hilo................
 
Unataka akutongoze hadharani, ndani ya bus, ndani ya daladala? anaeomba namba ya simu ni mstaarabu hajakulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…