Wanaume wengi hawabebeki

Wanaume wengi hawabebeki

Muulize baba yako naye si mwanaume atakwambia nan alituloga
 
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????

Aiseeeee kumbe kuna wadada mlizaliwa na tabia za kiume .....
 
Duh! umetoa msingi kabisaa...we lazima utakuwa msagaji.
 
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????
Kwel kwenye miti hakuna wanjenzi aisee, mm mbona huwa sipati wanawake wa namna hii, wengi ninaopata ni wanawake wanaomiliki lipstick tuu, kwa hiyo ni wavizinga kwenda mbele
 
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????
Muongezee mtaji mwingne,kipenda roho hula nyama mbichi
 
'Mpe zingine tu ndo priority yetu sisi wanaume wa dar' hii sio kauli yangu lakini ni kauli ya mtu mmoja hivi.
 
Sema pia nawewe ulimhonnga bhana baada ya kukunwa na ukakunika vizuri na iko Siku utamtafuta kutaka kujua biashara zinaendaje japo unajua mtaji kaua
 
Punguza povu, ule msemo wa samaki mmoja akioza ndiyo hivyo tena anatolewa aliye oza then wanaume tunaendelea na safari, NB: uliyempa huo mtaji alikuwa mvurana si dhani kama alikuwa mwanaume kama sisi wengine.
 
ili dada sredi zake ova lilikeketwa na ngariba wa kiume...
itakua una sad story of love life..yani jitahidi uondokane na mfumo tafunwa wa fikra...
utakauka K iloo hata upate mwanaume gani bado utakua una gubu la K tu..
Tulia, relax, wet up alil, enjoy a Coke ...olewa na umpendaye maisha yasonge...
sio gubu ova ulichanwa tigo au umeambukizwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom