Wanaume wengi hawabebeki

Wanaume wengi hawabebeki

Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????
Mkuu mwanaume sio ndugu yako alafu acha mwanaume afanye majukumu take na wew ufanye yako hapo ndo wanawake wengine hata wakiwa sana pesa huwa hawawapi wanaume mitaji,,ni sumu kubwa kumpa mwanaume ela acha asake zake unaweza kufa badae akigeuka
 
Mpuuz wako mmoja usitufananishe nae

Af hyo ela uliongwa na wewe ukaonga

Pesa ya ivyo kudumu kwake ni ngumu
 
Mkuu mwanaume sio ndugu yako alafu acha mwanaume afanye majukumu take na wew ufanye yako hapo ndo wanawake wengine hata wakiwa sana pesa huwa hawawapi wanaume mitaji,,ni sumu kubwa kumpa mwanaume ela acha asake zake unaweza kufa badae akigeuka
Sawa na kwa mwanamke,

Mimi shughuli yangu ni kumtindua tu,

Na namsugua mpaka anaomba poo akitaka kula fresh na bla bla ndogo ndogo hakuna mtaji
 
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????
sasa kauli yangu imetia kwa Uzi huu hasira zenu msilete huku..... Walio watoboa wako wanabet
 
Ndio maana sipendi kuhonga kumbe ndio mambo kama haya unamlea mwanaume mwenzako bila mwenyewe kujua
 
Mwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...

Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,

Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote

Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.

Wanaume nani aliewaloga????

Again, you are generalizing....! Nitafute basi, hautakuja kujuta maishani mwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom