Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Alivyo binti ndivyo alivyo Mama, inaonekana Baba yako akikaa na mama yako anapata cha moto
Inategemea kuliko kulaumu... ongea naye inawezekana hakubetMwaka jana nimempa kaka mmoja mtaji ili ajikwamue kimaisha ili hata hela ya boxer na viwembe vya kunyoa zivu asiniombe lakini cha kushangaza ilisahau msoto wote kwa muda mfupi tu aliyoshika pesa hizo za mtaji...
Mwanzo alianza vizuri akafungua goli kkoo pale aggrey akawa anauza vitu(phone accessories) kwa bei ya jumla na reja reja,
Miwanaume ilivyomipumbavu hata miezi minne haijaisha akaanza kubetia pesa yote
Mpaka naandika uzi huu limeshafilisika na nimeliacha lifundishwe na ulimwengu.
Wanaume nani aliewaloga????