Wanaume wembamba wana visa...

Mimi ni mwanaume mwembamba kama sindano....ni kweli navutiwa na wanawake wakubwa/wanene,big round face,big booty,big boobs....but aflat stomach,kwa mwanamke tumbo au kitumbo kilichojitokeza ni dalili ya uvivu na kuto take care ....not a fan!
Ni kitu gani zaidi kinachokufanya upende wanene sana? kwani wewe ukiwa mwembamba huwezi kuwa na wembamba wenzako?embu funguka kidogo
 
Mimi ni mwanaume mwembamba kama sindano....ni kweli navutiwa na wanawake wakubwa/wanene,big round face,big booty,big boobs....but aflat stomach,kwa mwanamke tumbo au kitumbo kilichojitokeza ni dalili ya uvivu na kuto take care ....not a fan!
Inawezekana we' Kobello mkareeeeeeeeee!!
 
me mwembamba kiasi bt sifagilii wanawake wanene sana..so inategemeana from one slim person to another..
 
Yaaani utakuta kamtu kembamba hatar ilakanang'ang'ania mdada mwenye bonge la wowowow, mpaka ukimwangalia na kupata picha kunako shughuli sijui inakuwaje
Mbona simple.Kwenye shughuli hako unakokaita kembamba kanapotelea tu kwenye minofu mpaka huko kunako mashine kakiibuka bibiye roho kwatu.
 
Mbona simple.Kwenye shughuli hako unakokaita kembamba kanapotelea tu kwenye minofu mpaka huko kunako mashine kakiibuka bibiye roho kwatu.
Hahahahahaaaaaaaaa kumbe eeeeee, sasa si katakosa pumzi eee
 
We sawa tu na kwako nitapita tu heheheheheeee

heheeh shantel bana! nipo bana nasoma maeksperiensi yenu. Infact wakati hii sred inaendelea nimechungulia dirishani kapita mkaka mwembamba kama toothpick lakini ameshikana na mdada ambae kama utamkuta gizani unaweza ukakisia kuwa hata majabali yanatembea samtaimu, namaanisha ni mnene kupita kiasi. kwavile nimeshasoma sred ya shantel hata skushangaa sana, nilismile tu
 
Uwiiiiiiiiii hahahahahaaaaaaatehetehe yaani sijui kama watu watacheka kama mie hapa, mpaka watu wanauliza kulikoni, lol hii kali majabali yanatembea????? aaaah kweli wewe ni kloro
 
Hhhahhaah...samahani bana!!Nwy binafsi sijawahi kunotice...nnaowajua naona lama miili yao inawiana kwa kiasi kikubwa!!
 
Mbona analia alikuwa msibani? ila sio mnene kivile
He! Shantel hivi umewahi kumuona mkapa live au ndo unamuona kwenye picha? Yaani mkapa sio mnene? Mkapa mnene mkewe sio sana si nimekwambia wanaume wembamba ndo wananenepesha wanawake?
 
Hhhahhaah...samahani bana!!Nwy binafsi sijawahi kunotice...nnaowajua naona lama miili yao inawiana kwa kiasi kikubwa!!
poa lizzy umemsoma klorokwin lakini kwikwikwi
 
He! Shantel hivi umewahi kumuona mkapa live au ndo unamuona kwenye picha? Yaani mkapa sio mnene? Mkapa mnene mkewe sio sana si nimekwambia wanaume wembamba ndo wananenepesha wanawake?
kweli kabisa, na nimemuona huyo mkewe pia sio mnene yuko fiti kwa hiyo chakula chote alikuwa anakula peke yake sio?? haya bana
 
penye blue, msuguano huo unaweza leta moto (kama ulindi na ulimbombo wa watu wa zamani wa kuwashia moto)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…