Wanaume "warembo" ....mnachusha!

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2010
Posts
1,470
Reaction score
722

Hii mada imeletwa kwa hisani ya wale wanaoona wanawake wasomi ni mizigo - kina Wiyelele, Asprin, nk

Wapi mamaa Kongosho, Ciello, Smile, na wengine tulonge?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahha! Hakyanani Wiyelele kakushika pabaya lol

Waweza nitaka radhi au waweza nithibitishia ni wapi nimetamka wanawake wasomi ni mzigo?

FYI mke wangu ni msomi mzuri tu nahaijawahi tokea akawa mzigo kwangu. Infact huwa najilaumu sana na kujuta kwanini nilichelewa kumfahamu na kumuoa.

Narudia tena, nitake radhi.
 
Last edited by a moderator:

Kunradhi bwana Asprin lol...ulimi umetelezea keyboardini
 
Last edited by a moderator:
Mie mwanaume mrembo anipitie mbali ni mizigo tu,nani anataka mwanaume wa kugombania naye kutumia dressing table? Wanipishe....

yaani!!
Wananyoroteka mno aisee...
Halafu watataka mke uwaabudu?
 
Urembo na usafi ni vitu viwili tofauti.
Kukata kucha saloon, au kufanya urembo wowote zaidi ya haircut au kuzishibisha dreadlocks ni too metrosexual.
Ila kama unazungumzia perfumes au lotion ... hiyo itakuwa ni dalili kuwa wewe ni mwanamke mchafu.
 
Mie mwanaume mrembo anipitie mbali ni mizigo tu,nani anataka mwanaume wa kugombania naye kutumia dressing table? Wanipishe....

Eti mwanaume mrembo yukoje?
 
Kwa msingi huu kuna element ya ushoga inaanza kuota mizizi kwenye jamii yetu. Mie baba yenu nikiamua bomba sijui mambo ya kuupara wala kujisoapsoap. Mwanaume si sura bali shughuli jamani. Hao wanaojipara wasitukane watakapoambiwa mambo?
 
Ila kwenye swala la kukandwa hakuangalii mwanamke au mwanaume. Hapo rekebisha mama
 
Asprin kama mimi vile....haki ya Mungu!!
 
Mimi naona kawaida kabisa, sema isiwe too much kama wanafanya akija Kinyaia mwishoe utaombwa makitu aiseeee. Naungana na babu Asprin kuwa atakwe radhi juu ya kauli wanawake wasomi ni mzigo.

Tausi Mzalendo mtake radhi babu.
 
Last edited by a moderator:

....kwikwikwi hubby mbona umekua mkali..

Halafu wabaya nyie, mlikuwa mnamjaza ujinga tu yule dogo kule
 
Last edited by a moderator:

haipendezi mwanaume kuwa rough, ila haifai kugombea dressing table na mkeo......

Mwanaume mpaka cream anapaka.....

Kuna wengine wanapaka sijui mafuta sijui lipgloss mdomoni, hawa ndo siwaelewagi kabisaaaaaaaaaaaaaa

akitoka hapo bila aibu anajiringishia 'uhandsome'

loh mwanaume hasifiwi kula....
Mwanaume hasifiwi sura....
Mwanaume hasifiwi kuvaaaa.....

Mwanaume pesa, mwanaume 'shughuli'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…