Wanaume warefu weupe

Sasa kwa nini muwapondee ati. Mti wenye matunda ndio hupigwao Mawe. Ila majamaa yana mbegu bora sana mkifyatua mtoto anakuwa wa ukweli ndio maana wanawake wengi wanawapapatikia wanaishia kupigwa alafu kisha wanaanza kuwaponda kama mtoa mada.
Kama wewe mweupe(papai) Pole sana, wapo wanaowapenda aiseee, kitu Black kirefu mwili wa kiume lazima chupi ilowe.
 
Nna wcwc unawakubali kupita maelezo ila una bakhti mbaya nao sana!
 
Aiseee ungekuwa karibu walah ningekununulia kinywaji chochote utakacho.
 
Kuna ukweli. Wanaume weupe huwa wanajisikia sana wengi wao.....
Isiwe tabu jamani tuacheni na weupe wetu na kuringa kwetu na urefu wetu.....wahini mapemaaaa kwa HARMORAPA maana anavyo vigezo opposite na tulivyonavyo...mfupi mweusi haringi n ontop of that he is handsome.
 
Kama wewe mweupe(papai) Pole sana, wapo wanaowapenda aiseee, kitu Black kirefu mwili wa kiume lazima chupi ilowe.
Kipenda roho hula hata nyama mbichi. Kikubwa tuheshimiane ktk chaguzi
 
Hivi neno UTAFITI linatumikaje siku hizi!!!! Au ni ile mtu akipigwa kibuti na mwenza wake kwa matatizo anayoyajua yeye basi ni utafiti!!!
 
Aiseeeee!! Utafiti oni fuliki!!

Sina experience nao, so kanti tell.
 
Wacha we, utakuta ulionesha dalili za kumtaka mkaka ambae ni mrefu na mweupe, halafu akakupotezea kimtindo au akakukataa kabisa ndo maana ukaja humu kumuanzishia thread Principle girl
 
Isiwe tabu jamani tuacheni na weupe wetu na kuringa kwetu na urefu wetu.....wahini mapemaaaa kwa HARMORAPA maana anavyo vigezo opposite na tulivyonavyo...mfupi mweusi haringi n ontop of that he is handsome.
Huyo hata afungwe kwenye gift paper awekwe ndani ya gari la maana hapana.... .
Mi nshajiwahia mrefu wangu siku nyingi ila sio mweupe, endelea kuringa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…