Hakuna mahali katka mada pameandikwa neno zoba. mada iko very clear.
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenye kupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
Sana tu ukweli upo,wanawake siku zote wanapenda kudanganywa sasa kama hiyo ni fani yako utakuwa unawapata kiulaini sasa watu wapole huwa hawana maneno mengi na huwa wanapenda kueleza ukweli kitu ambacho kwa wanawake hiyo hawahitaji sana.Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda wanaume micharuko, wenye kupenda mademu wengi, wenye kupenda kuonekana, mbwembwe na wapenda umaarufu.
Je kuna ukweli katika hili?
Sifa kubwa ya wanaume wapole ni ku stick kwenye mahusiano kwani upole wao huwa unawafanya hata kuwa wavivu kutafuta wanawake wa ziada.Aina ya wanaume uliowataja mara nyingi huwa hawajiamini. Hawako wawazi hivyo wakati mwingine ni ngumu kujua anawaza nini, anataka nini kwenye maisha. Wakati mwingine inakuwa ngumu kuamini kama anaweza kuwa kichwa cha nyumba.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza rasmi kuwa nimeukubali mwaliko wako......
Uzee ma upigwe vita kwa nguvu zote.
Popote ulipo Heaven on Earth, tafazali kubali mwaliko huu uongeze muda wangu wa kuishi.
Matola tunaweza kwenda hata Nyama choma pia If not to CalabashTunaojuwa ukweli huo ndio maana tunazurura kama mbwa, natuwa Bongo weekend hii usicheze mbali na dada yako nataka tukemee uzee pamoja pale Calabash napenda sana live band.
@Aspirin jumamosi kaa mkao wa kula na mpwa wangu Heaven on Earth mwandae awepo hii ni serious offer sitanii.
....kumbe ndio maana sipati mbunye...mwaka wa saba huu...
ngoja nianze kuchangamka....na...mimi kudadeki....
Kumbeeeee! Leo ndio nimefahamu kwanini katika umri huu nilionao idadi ya wasichana niliowahi kuwagegeda(ukimuondoa mama kayayii) hawazidi 5! upole umeniponza hadi hapa jf!