Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Yako inanunulia nini sasa kama saluni yangu, ya mahitaji yangu na kuiba uibe wewe!!!!!
Napaswa kujibu hili kweli?
Yako inanunulia nini sasa kama saluni yangu, ya mahitaji yangu na kuiba uibe wewe!!!!!
Usharudi jirani.? Mbona hatutafutani aisee.?
Mwanaume kama anajua majukumu yake sidhani kama mkewe atamsachi.......
Inawezekana mume wa shosti wako alikuwa hamtunzi na haachi matumizi kwa mkewe ila akirudi anataka kula wali maini
Wengine hawana kitu na wameogopa kusubiri mpaka wapate hela ndio watafute wapenziIla wanaume wengine wanaboa jamanii..wabahili sana...acha tu waendelee kusachiwa,,ila mie cnt do that...maana cjafunzwa hivoo kuomba omba na kuwa na mitaa isiyoeleweka
Ila wanaume wengine wanaboa jamanii..wabahili sana...acha tu waendelee kusachiwa,,ila mie cnt do that...maana cjafunzwa hivoo kuomba omba na kuwa na mitaa isiyoeleweka
Tatizo lenu mkiona kichaka tuu......nsubiriniiiii jamwanii!Uwiiii!
Ndio muwe mnatoa basi msiwatie wenzenu majaribu ya kuwasachi!!!
Cjarudii jiran bado naendelea kusaka doo!! Nkirudi ntakuita tunywe kdogoo
Kuiba ni mbaya sana mimi nikikukuta utanijibu mengi sana, usipoangalia unaenda polisi
Tatizo lenu mkiona kichaka tuu......nsubiriniiiii jamwanii!
Control tamaa zako so much better is yet to come!
Kingine mnasahau ni kwamba everything that you do has an effect to your life in future! kutokuaminiana, ugomvi, wivu, tamaa michepuko vyote hivi vitafanya mahusiano yako yawe ya short term na maendeleo ya muda mfupi kama kubadilisha mboga! hakuna mwanaume anapenda ku-invest kwa mwanamke mwenye risk!
Safi sanamimi mkuu mwaka jana nilipata kisa kama hicho...nilikaribisha mpenzi wangu nyumbani kwangu kwakua ilikua ni muda mrefu hatujaonana yeye alikua anasoma chuo kimoja moshi.Basi tukafanya mawasiliano nika acha funguo za ghetto kwa jirani ili yeye akifika apewe funguo na kuingia ndani ili jioni nikirudi nimkute...basi bhana jioni narudi...nikakuta chumba cheupe laptop zangu zimechukuliwa....digital camera imechukuliwa...nikapiga simu ikawa haipatikani...ila nikatuma msg...baadae usiku nikaona delivery report...kupiga simu nikapewa ultimum eti nimtumie pesa...
bahati nzuri nilikua nafamiana na rafiki yake ambae alinipa contact za home kwao moshi..ilibidi nichukue likizo ya ghafla kwenda hadi moshi kwao..kumfatilia...inshort nilichukua laptop zangu...na nikala mzigo vya kutosha.....baada ya zoezi eti akaanza kuomba msamaha..huku akidondosha chozi....nikamjibu...hiyo haiwezekani....maji yakiisha mwagika hayazoleki...nikamwachia elfu kumi na tano....nikaondoka zangu....tangu siku hiyo....nasumbuliwa na msg kutoka kwake za pliz forgive me....mara mambo...Kimsingi mkuu wanawake wa design hiyo huwa unakula mzigo....na kumuachia pesa uliyombamba nayo wakati akichomoa wallet....hiyo inakua enough "saikological" torture kwao...wala hakuna haja ya kumzaba kibao...
Hata wewe kumuibia mangi vocha ni tabia mbayaHata wewe kuiba ofisini kwako au kumuibia muajiri wako ni mbaya sana!
Tukizingatia haya tutakuwa tumepiga vita ufisadi kuanzia level ya ofisini mpaka kwa wake zetu!
mtu akiwa bf or gf si lazima akupe msaada bali ni utu kutoa kwa kuwa ni mtu wa karibu zaid ya yeyote though siku hizi kushare love doesnt make people close! inawezekana kuacha kwako siku ile kuna faida kwako kuliko ungechukua!sawa,but inategemea na mtu,mwingine ukimtendea mema kwa uaminifu they just take you for granted...
Siku moja tulitoka na mwanaume wangu,tumerudi kwake he was really exhausted fell into a deep sleep hakuweza kunipeleka home siku hyo,nikajiandaa niondoke mana kuna sehemu natakiwa mapema asubuhi,wakati nachukua vitu nilikuta hela nyingi tu kwenye nguo yake,mi nkamuwekea vizuri nikaondoka...na shida zangu nyingi tabia ya wizi sina na sijawahi muomba hela tangu tukutane,siku moja nna shida kweliiiiii only God knows how tough it was,for the first time namuazima hela alinikaushia kama hajaona my msg...daaaaah,niliumia sana jmn, it made me question my loyalty big timee...
Learnt the very hard way,sina hamu,tenda wema uende zako...
Uanzaje kusachii:what: unanyata unanyata unageuka kulia alafu kushoto alafu kulia tena then unanyakua porochi kama ni suruale unageuza juu chini then unakung'uta ovaa. umeelewa sasa jinsi ya kusachi?:sly:
mtu akiwa bf or gf si lazima akupe msaada bali ni utu kutoa kwa kuwa ni mtu wa karibu zaid ya yeyote though siku hizi kushare love doesnt make people close! inawezekana kuacha kwako siku ile kuna faida kwako kuliko ungechukua!
nakutakia kila la heri ulichojifunza!mhh hakuna kitu pale...basi tu nimejifunza kitu
Mwanamke na udokozi haipendezi kwanini hamuombi?
Mimi huyo nikimfuma simpigi wala simpeleki polisi naachana nae kisaikolojia kwa raha na amani tena muda napitisha baada ya tukio, mfano kadokoa leo mimi baada ya wiki mbili au mwezi ndio namuacha tena bila ya yeye kujua kosa la kuachwa