Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Yes kwann uchomolewe jiulize
Na ww kama unauza useme ili tuje na cash kuliko kudhalilika
Yes kwann uchomolewe jiulize
hahaha nampa basic needs tu nyingine mpaka aoe lol
hahaha..basic needs, once in a week!! Lols, ili asife njaa eeh!!
hahaha umeona eeeeh maana njaa ikimzidi hata vya jalalani ataokota lol
teeh, sio yeye Tu..hata wewe usipoangalia unakula makombo Tu, kwa hiyo moja kwa wiki itasaidia...huduma zingine za kindoa zitasubiri
Ila wanaume wengine wanaboa jamanii..wabahili sana...acha tu waendelee kusachiwa,,ila mie cnt do that...maana cjafunzwa hivoo kuomba omba na kuwa na mitaa isiyoeleweka
Wengine acha tu yawakute maana wamezidi ubahili,hawajigusi hata!!!
Mtasachiwa mpaka akili ziwakae sawa kwa kupenda vya dezo!!!
We mbona hunisachi mama watoto???!!!
Sasa naanza kuona tanzania yenye wanawake makini inaanza kuja,This is impressive!Jamani wasichana wenzangu punguzeni kusachi na kuwaibia wenzi wenu hela kwenye wallet na mifuko ya suruali!
Shost angu ananiomba ushauri nawakati kalikoroga mwenyewe hata cha kumshauri nimekosa, MTU wake kambamba akichomoa hela kwenye wallet yake baada ya hapo jamaa katoa kibuti akisema amemvumilia amechoka.
Mmmh kazi ipo uaminifu zero na tamaaa ya pesa jamani, turidhike na kile tupewacho hata kama unasema mwenzio hafatilia lakini hakuna watu walio makini kama wanaume!
wengine wamezidi ubahili ndio maana inabid kusearch na kuchomoa
Sasa naanza kuona tanzania yenye wanawake makini inaanza kuja,This is impressive!
Ukiiba ukaona hatujauliza jua tunajua ila ushahidi ndo hatuna, just stay out of trouble ladies!
Saa ingine mnatuuliza kwanini tunawaangalia sana sometimes ni kwamba a lot of issues kichwani zina-coflicting about you ila hamjui tuu!
Kuwa bahili uone!
Nani akung'arishie?
we iba as long as sikushiki.....pili kila ten inayopungua kwenye wallet yangu basi minus kwenye matumizi yako!Kuwa bahili uone!
Nani akung'arishie?
Sioni mwizi in you!!!!
we iba as long as sikushiki.....pili kila ten inayopungua kwenye wallet yangu basi minus kwenye matumizi yako!
Kama nilikuwa nakupa labda laki for your shopping then na-minus ten on that month iliyopotea ukiendelea na mimi naendelea kupunguza mpaka siku utashangaa nakupa elfu 20,000 for shopping, full stop sina mda wa kukuuliza maana ukishindana na pumbavu hakuna utakachopata!
Hivi ni inborn hiyo? Siwezi kujifunza?
Ya kuifunza ni mengi mamy hata kumuacha mpenzi mwizi siwezi jifunza????!!!!