daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
imagine nikikushika nguvu ntakayotumia!Umetumia nguvu nyingi sana best,natumai wezi wamekusikia.
imagine nikikushika nguvu ntakayotumia!Umetumia nguvu nyingi sana best,natumai wezi wamekusikia.
Hela kwa ajili yangu, wewe na watoto uibe wewe then uonewe huruma kwa mgongo wa watoto???!!Hahaaa! Nimeipenda hii.
Ila naamini utawafikiria watoto kwanza kabla ya kufanya maamuzi magumu.
Utanivumilia tu kama si kwa upendo kwangu basi ni kuhurumia watoto
ha ha ha ha
not much
Hela kwa ajili yangu, wewe na watoto uibe wewe then uonewe huruma kwa mgongo wa watoto???!!
Sijaiba,nimechukua!!
imagine nikikushika nguvu ntakayotumia!
Si uchukue nikiwepo tu!!!!
Mi ntafurahia nywele safi kwa pillow talk na watoto watashiba mng'aoUtaanza story za mafundi wanakudai and blah blah!
Bora nichukue hupo kesho nikitoka kazini salon,ukija jioni nang'aa utaelewa tu zilikoenda.
Mi ntafurahia nywele safi kwa pillow talk na watoto watashiba mng'ao
Kwani nachukua zote?
Nabakiza ili kesho iwepo ya kuacha na ya mafuta!
Umeonaeee😉 so lazma wapapaswe
hata kama wabahili kwanini usiseme??? haaa haaa mie naziweka pesa zangu hapo kweupe zikipungua tupo wawili uko responsible au kama zina miguu zimetembea sawa...
Yaani unabakiza ya kuiba na kesho???!!!
Nabakiza ya wewe kuacha ya kununulia mahitaji kesho
We hujui kuna chuma uletee???
Na wewe unachomoaga.?
Mie sinaga hizoo aisee
nilidhani na wewe upo katika msafara..!
Akhaaaa sipo huko