Pole yake kwa maana sio material woman.
Yeye hatoi bure alitaka kuchukua malipo yake
Mi hata awe amelewa chakari... Sina huo muda wa kuhangaika na pesa isiyo yangu..!!
na wewe una sachi?
Mi hata awe amelewa chakari... Sina huo muda wa kuhangaika na pesa isiyo yangu..!!
Hivi unaanzaje kusachi suruali na kuchomoa hela???? Duuuh kuwa na roho ngumu Sana. Hata Kama Shida mmmh!!!
Sasa nani anasachi, maona wote mlochangia hampendi katabia ka udokozi..lol
Mi hata awe amelewa chakari... Sina huo muda wa kuhangaika na pesa isiyo yangu..!!
Mm kuna dada mmoja alinifanyia hivyo sikumwambia kitu...siku aliyopata tatizo kuniomba hela nikamrushia nusu nkamwambia ongezea na zile ulichukua siku ile.
wengine wamezidi ubahili ndio maana inabid kusearch na kuchomoa
Hahahaaa patamu hapo ...halafu na yeye alisemaje... ?!
Nampa vibao vichache, nampeleka polisi akasote kama siku nne hivi, then nakwenda kumtoa na kibuti simpi kwani hawez rudia tena, na atakuwa ana heshima na pesa zangu.
hujawahi kusachi wakati unamfulia??kibuti ni haki yake huyo kama haitoshi si unaomba
Wachaga msiniangushe hapa
inabid ukiwa unachomolewa ujifanyie tathmin we mwenyewe