Wanaume wangapi mmeelewa hii??

Wanaume wangapi mmeelewa hii??

Kwa sie kina mama wanasema ukiweza kutengeneza kishimo ukiwa umechuchumaa (kwenye mchanga) bado hujazeeka, ila kama ndo wakati ushakupita hehehehee basi ukinyanyuka hapo hadi miguu imelowa hahahhaaaaa.
We bibi ni kiboko aisee
 
Mwisho unamalizia vitone vilivobaki na kulirudisha dudu ndani.

Hayo maneno niliyo bold yameniletea mhemko wa hali ya juu.... maana nimepata picha kabisaaa........

Uuuuwiiiiii....... masikini akapuchu yangu....
 
Hhahahahahhahaahaaa mie nimeelewa japo si wa kiume.

Mwanzoni inakuwa fyuuuu ukimaliza bila hata ku shake unasepa.

Ila ukifika ukingoni..... ni shake well after use maana unaweza ambiwa samahani kamanda, umejinanihilia aahahahahahahhahaa

Ila bana Mungu asingeweka kuzeeka kuna watu wangetusumbua sana hapa duniani, mmoja wapo mie hapa. Hhahahahaaa maana jinsi unavyozeeka na nguvu pia zinaisha, hata ukiongezea nguvu za ziada bado ikifika mahali zitadunda tuu.

Juzi nimemuona Mzee P. Msekwa alivokuwa mtu mzima nikakumbuka enzi zile niko Dodoma ya miaka ile Pius akikutizama hivi na jicho lake lile.... huchomoi walaah daaah kweli wakati ukuta.

Kwa sie kina mama wanasema ukiweza kutengeneza kishimo ukiwa umechuchumaa (kwenye mchanga) bado hujazeeka, ila kama ndo wakati ushakupita hehehehee basi ukinyanyuka hapo hadi miguu imelowa hahahhaaaaa.
Aise
 
Urine trajectory. Kama una uhaba wa voltage,lazima kuwe na shida wakati wa kufanya projection
 
Hayo maneno niliyo bold yameniletea mhemko wa hali ya juu.... maana nimepata picha kabisaaa........

Uuuuwiiiiii....... masikini akapuchu yangu....
Tatizo unapenda dudu sana
 
Wala sivyo, hii picha haizungumzii umri jamani..

Kinachozungumziwa hapa ni pale unapoenda kukojoa mwanzo mkojo unatoka kwa kasi kadri unavoendelea kasi inashuka baada ya hapo ukijikwinya unaruka kwa kasi tena.. Mwisho unamalizia vitone vilivobaki na kulirudisha dudu ndani.

'Only Boys will understand' haipo hapo kimakosa,.
Kwahyo boys wasioelewa tuwaiteje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom