Wanaume wangapi mmeelewa hii??

Wanaume wangapi mmeelewa hii??

Meja M

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
628
Reaction score
560
Haya twende kazii...tujue wangapi mmeelewa
FB_IMG_1490732881043.jpg
 
hahaaa wale wenzangu na mimi wa mara network error, please wait..... access denied ni mwendo wa ma picha picha japo haipt cku wamepractise, ataanza kujiuliza hv nimeona wapi vile......huku anakuna kichwa kilichojaa maganda ya bamia kavu
 
Hhahahahahhahaahaaa mie nimeelewa japo si wa kiume.

Mwanzoni inakuwa fyuuuu ukimaliza bila hata ku shake unasepa.

Ila ukifika ukingoni..... ni shake well after use maana unaweza ambiwa samahani kamanda, umejinanihilia aahahahahahahhahaa

Ila bana Mungu asingeweka kuzeeka kuna watu wangetusumbua sana hapa duniani, mmoja wapo mie hapa. Hhahahahaaa maana jinsi unavyozeeka na nguvu pia zinaisha, hata ukiongezea nguvu za ziada bado ikifika mahali zitadunda tuu.

Juzi nimemuona Mzee P. Msekwa alivokuwa mtu mzima nikakumbuka enzi zile niko Dodoma ya miaka ile Pius akikutizama hivi na jicho lake lile.... huchomoi walaah daaah kweli wakati ukuta.

Kwa sie kina mama wanasema ukiweza kutengeneza kishimo ukiwa umechuchumaa (kwenye mchanga) bado hujazeeka, ila kama ndo wakati ushakupita hehehehee basi ukinyanyuka hapo hadi miguu imelowa hahahhaaaaa.
 
Hii ama unaweza ukawa unaelezea umri wako mwanamme akiwa mdogo. Anapotaka kwenda haja ndogo uwezo wa mkojo kufika zaidi ya futi mbili na zaidi lkn kadri umri unavyokuwa mkubwa uwezo huo unatoweka. Lkn pia unaweza ukawa unaelezea ugonjwa wa tezi dume
 
Hahaha we jamaa umenishinda tabiaa
 
Mmmh bado naifikiria hii
 
Wewe kweli mhenga..shkamoo.
 
Hii ama unaweza ukawa unaelezea umri wako mwanamme akiwa mdogo. Anapotaka kwenda haja ndogo uwezo wa mkojo kufika zaidi ya futi mbili na zaidi lkn kadri umri unavyokuwa mkubwa uwezo huo unatoweka. Lkn pia unaweza ukawa unaelezea ugonjwa wa tezi dume
Popote ulipoagiza novida nakuja kulipiaaa
 
Nilipokua nipo under 7 nilikua narusha mkojo juuu mpaka unanizidi urefu wangu hapo mzee tunashindana na wenzangu...siku izi sasaaaa [emoji23][emoji23]....

Ila sababu zake zipo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nipe ka sababu chifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom