Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,522
Kumbe auntie wewe wa daa!! Hata kunialika nije nami nipandepo kamwendokasi jamani!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe auntie wewe wa daa!! Hata kunialika nije nami nipandepo kamwendokasi jamani!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio jee watoto wa majuuAhahhaha wa abroad
Siku hizi napitwa jamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Haha usinikumbushe wale walosema wajifanye ni nurse na askari haha
Ndio mkuuKwa hio kuna wa mikoani. Wa dsm na wa kwa mkwere
Ya zamani sana hiyoSiku hizi napitwa jamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hivi Jirani yangu slim ni wa wapi
Aisee semeni mikoa mliopo tukipita huko tuwasabahisijawah ht kufika dar natamanije!
Ooooh!!Ya zamani sana hiyo