Wanaume wanatuchosha lakini hatusikii na wala hatuoni.

Yaani alimwonyesha mdada mapenzi hasa kumbe hayakuwa mapenzi bali utapeli, alimpa mdada milioni moja ya kufanya shopping. Baada ya muda ndo yeye akaja na gia ya kusema mzigo umekwama na hahui afanye nini? Eti dada tu ndo mtu wake anamhesabu kama mama wa watoto wake, halafu anavyoongeaga kwa upole kaka yule, hata sisi marafiki hatukutegemea. Kweli tumepata somo.

Hapo kwa mwanamke wenye akili angemshtukia. Mmekutana miezi mitatu. Ndani ya miezi mitatu anakupa milioni moja ya shopping. Ndani ya miezi mitatu hiyo hiyo anakuomba mkopo wa milioni sita. Halafu hapo mtu unakopesha tuu bila hata kufikiria mara mbili. Ina maana hata kabla ya kumkopesha hakuomba ushari kwenu nyie mashosti wake? Au aliomba ushauri na nyie mkaushari amkopeshe? Role ya mashosti iko wapi hapa? Mwanamke yoyote anayesoma hii post ajiweke kwenye mazingira ya huyo mwanamke. Je Ungekopesha?
 
Tatizo lenu wadada mnapenda sana wanaume wenye mapenzi ya maigizo. Yaani vitu mnavyoviona kwenye movies mkifanyiwa ndio mnaona kweli umependwa, kumbe ndio unatengenezwa ili uibiwe.

Kwa hiyo jamaa katoa milioni moja, kapata milioni sita! Dah. Kweli mjini shule!
 
Lizzy mimi simpi pole. Sorry. Hata-learn chochote kwenye hizo pole. Let be realistic here! Yaani Lizzy tumekutana nikakutongoza ukaingia line, within 3 months nikakuomba mkopo wa milioni 6, huna, ukaenda kukopea kazini, halafu ukaanipa hata bila maandishi kwa vile tuu nakuwewesa kwenye mapenzi? I don't think so. Tena nita-ku-underrate sana. Siku hizi mpaka mume na mke wanaandikiana wanapokopeshana, ndio sembuse iwe boyfriend and girlfriend wa miezi mitatu? Angesema labda kabla kuanza uhusiano wao walikuwa marafiki wa kaiwada, then ningeelewa. Lakini hata hivyo, no. Angekuwa sister angekiona.
Bro mpe pole bwana ndipo somo lifuate.Kwakweli inashangaza ila ndo hivyo hata huyo tapeli atakua alimsoma akagundua kwamba dada wa watu ni mwepesi sana kuamini na akaitumia hiyo nafasi sawa sawa.Alafu usisahau kwamba alipewa 1mil ya kufanya shopping dada wa watu akaona kweli kama ni mwanaume amepata...na kama anaweza kumrushia 1mil kwaajili ya shopping kwanini ye asiweze kumsaidia ili kuwezesha biashara ambayo hata yeye atafaidika nayo akiwa mke?!Wanawake wengine wanadanganyika kirahisi sana...mpe kitu kidogo tu kutengeneza imani alafu kesho muombe figo yake kama atakunyima!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
dah, miez mitatu unamkopea mtu mamilioni! Kazi ipo wadada, mie hata tuwe pamoja miaka mitatu sikukopei hela yotdm hyo. Halafu huyn mdada alikurupuka hakuwa akimjua vyema huyo mwanaume!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Bro mpe pole bwana ndipo somo lifuate.Kwakweli inashangaza ila ndo hivyo hata huyo tapeli atakua alimsoma akagundua kwamba dada wa watu ni mwepesi sana kuamini na akaitumia hiyo nafasi sawa sawa.Alafu usisahau kwamba alipewa 1mil ya kufanya shopping dada wa watu akaona kweli kama ni mwanaume amepata...na kama anaweza kumrushia 1mil kwaajili ya shopping kwanini ye asiweze kumsaidia ili kuwezesha biashara ambayo hata yeye atafaidika nayo akiwa mke?!Wanawake wengine wanadanganyika kirahisi sana...mpe kitu kidogo tu kutengeneza imani alafu kesho muombe figo yake kama atakunyima!!

Kwangu mimi naona kitendo cha kupewa milioni moja ya shopping na kuombwa kukopwa milioni sita ndani ya miezi hiyo hiyo mitatu, kinge-raise dukuduku. Mwanaume gani anakupa milioni moja ya shopping na kukukopa milioni 6 at the same time? Nakurudisha kule kule. Within 3 months nakupa milioni moja ya shopping halafu ndani ya miezi hiyo hiyo mitatu nakuomba unikopeshe milioni sita. Kwako ina-make sense? To me it doesn't. Tena angemweleza tuu kuwa kwa kuwa hii pesa sio yangu na nimekopa osfisini basi naomba tuandikiane. Simple.

Mimi pole bado sitoi. Safina mwenye anaonyesha kumkandia jamaa tuu, as if shosti wake hajachemka hapo. Sio kwamba namfagilia mwizi, but aliyeibiwa naye akubali kuwa amechemsha kwanza. Kuna contributory negligence hapo. Akubali kwanza kuwa amefanya kosa na anajutia alichofanya. Kitu kingine, ina maana wakati anakopesha hakuwashtua mashosti wake kama Safina? Kama aliwaambia walimshauri kivipi? Au waliambiwa tuu alipopewa milioni moja ya shopping, lakini sio wakati anakopesha?
 
Binafsi sidhani kama ingeniingia akilini!Kwanza akianza tu kunihonga sijui million ya shopping naanza kumwogopa!
 
Dudu na vijogoo vya wanaume mwavipenda thats why mwatung'ang'ania! Tutazidi kuwabamba kinoma!
 
Hapo kwa mwanamke wenye akili angemshtukia. Mmekutana miezi mitatu. Ndani ya miezi mitatu anakupa milioni moja ya shopping. Ndani ya miezi mitatu hiyo hiyo anakuomba mkopo wa milioni sita. Halafu hapo mtu unakopesha tuu bila hata kufikiria mara mbili. Ina maana hata kabla ya kumkopesha hakuomba ushari kwenu nyie mashosti wake? Au aliomba ushauri na nyie mkaushari amkopeshe? Role ya mashosti iko wapi hapa? Mwanamke yoyote anayesoma hii post ajiweke kwenye mazingira ya huyo mwanamke. Je Ungekopesha?
Na nani???????????ki ukweli mwenzetu kachemka hapo.
 
ukweli huyo binti nae alitoa pesa haraka, miezi 3 tu jamani? kwani nani asiyeelewa mapenzi ya mwanzo ni matamu mana ni kuzugana akili kwa mawasiliano, outings nk halafu baadae inakuwa mazoea..
next time asiamini mtu ovyo hata kama yupo nae mwaka mmoja..pia ajifunze kutoongelea mambo yake personal kwa ndani zaidi!..linapokuja suala hili, siongeagi mambo yangu hata nikiulizwa nitauliza kwa nini anauliza..inabidi uwe makini kuongea vitu siyo kila kitu kumwambia mtu..
amuitie vibaka wampige wee ila hela sidhani kama atazipata..jamaa mteremko hana mapenzi!
 
Binafsi sidhani kama ingeniingia akilini!Kwanza akianza tu kunihonga sijui million ya shopping naanza kumwogopa!

Umeona hiyo lizz eeeh,mwanaume mwenye malengo mazuri hatangulizi mitego ya pesa,tene huyo hata maendeleo kwenu itakuwa ndoto kwani mtaishia kespendi tu.
 
Yakusema yanaweza kuwa mengi sana lakini ukweli unabaki kuwa hizo ni changamoto za maisha,huyo dada atumie hayo mahusiano kama shule na aendelee na maisha yake,mpe pole!
 
Galz....galz....galz.... come on, tutalia mpaka lini???Mapenzi mengine ni upumbavu tu!! How can u trust a guy ambae umekuwa nae only for 3months. Wake up dears, let us learn jaman hii mijanaume hii itatumaliza!!!
 
wadada nao pia wantakiwa kuwa wagumu kuhusu mambo ya pesa nyingi bana. miezi sita tu tayari anamuamini mkaka anampa pesa nyingi. jifunzeni kuwa wabahili ingawa bado ni wabahili vilevile.

Wabahili kama mimi!
 
Back
Top Bottom