Wanaume wanataka nini?

Kiukweli wanaume walio wengi(si wote)hawabebeki.Hata ukimbeba na turubai atakukuruka ili atoe japo mguu sio siri hii inatukatisha tamaa sana
 
Hahahah...kazi mnayo jeiefu hapa lol

Siunajua wife material hapatikani baa wala disco....! So ukimpenda binti kabla hujaonyesha nia lazima uchunguze chunguze, kama ni mpenzi wa viwanja sana, jua hapo hamna kitu. Lazima nami nifanye kautafiti ktk majukwaa ya starehe ktk jiji hili la jf kabla sijaingia kichwa kichwa.
 
Kiukweli wanaume walio wengi(si wote)hawabebeki.Hata ukimbeba na turubai atakukuruka ili atoe japo mguu sio siri hii inatukatisha tamaa sana

Same applied kwa ke, hata ungelimfanyia nini bado atakutenda tu. Mimi yupo niliwahi msomesha college kabisa lakini mwishoni nikaambulia manyoya. Halafu baada ya mambo kumuendea kombo eti kaja kujiliza...! Kama siyo ujinga ni nini?
 
Mkuu mashimba1 siku zote mwamba ngoma huvutia kwake.Mi nimeongelea me cause nime expirience same to u.Back to the topic tunatakiwa sote kubadilika ili tusikatishane tamaa ktk mapenzi.si unajua ndo yana run dunia,ha ha haaa!
 
Ulipata kuelewa wanaume wanatafuta nini kwa mwanamke?
 

Hahahahahah dah maisha is funny
 
Ukipendwa unapopendwa ,hutojuta wala kuumia, omba Mungu mimi mwanamke anayejitoa kwa ajili yangu siwezi mtenda baya.
 
Kumbe una kaudhoefu cha kulea .Punguza kuhonga wanakutumia wanakuacha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…