Wanaume wanaposhikwa na tamaa

Wanaume wanaposhikwa na tamaa

Kipendacho roho. Ushawahi kukutana na mwanamke alijiendeleza alivyo na tambo?!! Hata kama shule yenyewe ilikuwa ya kuunga unga. Utajuta kumfahamu.
Tena hawa wenyw shule za kuunga ni hatari. Wakishamaliza hizo shule dharau kwa waliowawezesha zinazidi. Wakati mwingine kumuwezesha mwanamke ni kujitengenezea bomu. Wengine inabidu wabaki chini ndo wanakuwa binadamu la sivyo ni kama wanyama.
 
Mimi nauliza tu.

Kwa nini hawa mabinti(house girl) wa kulea huwa wananawiri na kupendeza sana ikifika muda fulani hadi kuleta vurugu hizi?

Tukitambua chanzo na tatizo tutalipatia ufumbuzi.

Ananawili kwasababu....

-Anakuwa nakupevuka, nikawaida hata kuku, mbuzi nk wakifikia kukomaa hunawili sana

- Matunzo, uangalizi na malisho

- Utulivu wa akili kama hapati bughudha

Hapo hupati majibu mkuu
 
Kwangu nshaacha kuleta house girl ninaishi na two boys na mtoto wa kike wa wifi yangu, kwa hiki kisa unaweza kuchinja mtu ya nini sasa!!
 
Mtu yuko 21 bado unamuita mtoto? Tatizo la wanawake mnajisahau sana, ukiishaitwa mke unafikiri umefika wewe ndo wa mwisho.
Hivi wanaume lini mtaacha kuwalaumu wanawake kwa makosa mnayofanya wenyewe kwa makusudi kabisa?
 
Hivi wanaume lini mtaacha kuwalaumu wanawake kwa makosa mnayofanya wenyewe kwa makusudi kabisa?
Ndo tulivyoumbwa hivyo, kichwa kidogo kinaonea wivu kichwa kikubwa. Kikubwa kikila na kushiba lazima kidogo nacho kidai kula. Imagine mke is not reachable kwa miezi halafu yupo house girl mbichi bado pua yake inavuja jasho, ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Ndo tulivyoumbwa hivyo, kichwa kidogo kinaonea wivu kichwa kikubwa. Kikubwa kikila na kushiba lazima kidogo nacho kidai kula. Imagine mke is not reachable kwa miezi halafu yupo house girl mbichi bado pua yake inavuja jasho, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Nikikubamba nakulazimisha umgegede hausi gelo kwa takribani masaa 5 mfululizo nikishuhudia kwa masikio na macho yangu.
 
Nikikubamba nakulazimisha umgegede hausi gelo kwa takribani masaa 5 mfululizo nikishuhudia kwa masikio na macho yangu.
Sasa huo utakuwa uchokozi..! Ukikuta hivyo usiwe na papara vinginevyo utaachika wewe unamuacha binti anafaidi.
 
Uko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisitizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili.

Kwa msaada wa mama mkwe, mmepata kabinti kamemaliza darasa la saba anatafuta kazi. Kwakuwa una shida ya mlezi wa watoto umeamua kumchukua na umekubali kuwa shughuli nyingi unafanya mwenyewe ukitoka kazini au weekends, yeye alee watoto tu.

Mwaka wa saba huu binti anapendeza . Mkeo ni mwajiriwa sasa baada ya kupata diploma. Binti huyu anakuangalia kama baba yake kwani umemlea .

Usivyo na haya unamtongoza kwa ahadi ya kuwajengea wazazi wake nyumba. Akifikiria hali ya kwao anakubali mnaanza mchezo. Mara binti ana mimba.

Mke wako anataka kumrudisha kwao , kidume unafanya jitihada zote kumpangishia chumba mjini. Anazaliwa mtoto wa kiume. Kwakuwa una two girls njia kuu, unachanganyikiwa na nyumbani unapotea siku mbili hujali kupishana vikumbo chooni kwenye shared house.

Wanaume kweli mnayaweza.
Mkuu,hii story najua inaweza kuwa inakuhusu ww au jirani yko au rack yako...,kutokana na maelezo yako ni kwamba tukio lilitokea baada ya mama mwenye nyumba kwenda masomoni
Jifunze jamabo hili na umuelimishe na m2 mwingine... 'Unapotaka kwenda masomoni hakikisha hauna ndoa,pia unapotaka kuingia kwenye ndoa hakikisha umeshamaliza kusoma' na ukifanya kinyume na hapo tegemea hayo yaliyotokea kwenye story yako!
 
Nakupenda sana Sky Eclat....nipe nafasi ..plzz.
?????????akupe nafasi ipi TY??
52c2a24530abc37fdfbe5ab6e57be67a.jpg
7c322ccf25b36eee749643c352d35f38.jpg
 
Back
Top Bottom