Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
hahaha [emoji28][emoji23][emoji28] aiseee..haueleweki bibie..andika kwa kiswahili
hahaha [emoji28][emoji23][emoji28] aiseee..haueleweki bibie..andika kwa kiswahili
Mkuu anajua yuko kwao, hana stress ya bills wala kesho atakuwa nini. Akiunguza gauni akiwa anapiga pasi anasema tu mama samahani haelewi gauni ulinilininua kali na nusu.Mimi nauliza tu.
Kwa nini hawa mabinti(house girl) wa kulea huwa wananawiri na kupendeza sana ikifika muda fulani hadi kuleta vurugu hizi?
Tukitambua chanzo na tatizo tutalipatia ufumbuzi.
Asee haya mambo ni kuomba Mungu ayaepushe,mi sijui nitamfanyaje huyo mwanamke!Hembu fikiria katoto uliletewa kakiwa 14, amekuwa watoto saa yuko 21 anakuwa mke mwenza. Unaweza kuhitaji msaada wa kisaikolojia
Nitajitahidi wallah!si nitapanga ratiba tuUtayaweza mwenyewe majukumu
Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanao
Yaani kweli upate muda wa kuchat hapa wa kazi wa kupika kulea na wa kujirembaremba?Nitajitahidi wallah!si nitapanga ratiba tu
Nimecheka!umefikiria mbaliYaani kweli upate muda wa kuchat hapa wa kazi wa kupika kulea na wa kujirembaremba?
Nitakusifu kwa hili.
Aaah wapi... Ila inategemea na maisha mtakayoishi..Nimecheka!umefikiria mbali
Enzi hizo nitaacha..humu nitakuwa naingia mara nne kwa mwezi yani weekend tu jumapili
Mi naamini hata yeye atakuwa mshkaji tu..labda atakuwa anaosha vyombo huku mi nadeki😛😛😛Aaah wapi... Ila inategemea na maisha mtakayoishi..
Ila nyumbni uishi wewe na hubby tu na wote wafanyakazi itabidi usiwe nyoronyoro.
HahahahaMi naamini hata yeye atakuwa mshkaji tu..labda atakuwa anaosha vyombo huku mi nadeki😛😛😛
Ila kivyovyote vile nitapambana na hali yangu...wadada wa kazi hapana aseeHahahaha
Usijipe matumaini saana kwa sisi....
Mimi mwenyewe mshikji ila sio kila kazi nafanya.. na inategemea nimeamkaje.
All the best... Unipe kadi basi mama napenda kurushwa roho mtakapokuwa mnalishana kekiIla kivyovyote vile nitapambana na hali yangu...wadada wa kazi hapana asee
Sasa unakosaje kwa mfano...wewe na Asprin mtagawana majukumu,mmoja MC mwingine DJAll the best... Unipe kadi basi mama napenda kurushwa roho mtakapokuwa mnalishana keki
Kilichipo wewe kama mwanamke unatakiwa kujiamini tuu,kwani hata usimleta house girl nyumbani nikitaka kuchepuka nachepuka tuu.Wanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee