Haitasaidia sana dada, anaweza kupiga beki tatu wa jirani yenu aibu ikawa palepale. La msingi mtuombee tu maana si kwa vishawishi hivi.Wanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Kuchepuka mbona tunafahamu huwa mnachepuka,ila ni heri ukachepuke nje huko mbali kuliko kuchepuka na mdada aliye ndani kwanguKilichipo wewe kama mwanamke unatakiwa kujiamini tuu,kwani hata usimleta house girl nyumbani nikitaka kuchepuka nachepuka tuu.
Hahahahahahhh kama namuona aseee!akati hata siwafahamuHewaala mimi MC huyo mzee mwachie UDJ analewaga mapema lakini usishangae kwenye kukata keki akapiga
Kifoo kifooo [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Jiamini wwWanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Ukuje bas DecHahahahahahhh kama namuona aseee!akati hata siwafahamu
Sisi ni wakuaminika ila hayo mambo mengine ni ya asili hayaepukiki...jogoo mmoja anaweza tembeza kichapo kwa mitetea ya mtaa mzima...bado mtetea wa nyumbani ukaridhika na usionyeshe wivu...hiyo ni natural ya viumbe vya kiume so mtuzoee na kutuombea sanaWanayaweza kweli kweli,mi ndio maana haya masuala ya wadada wa kazi nitajitahidi(sijui kama nitaweza lakini) kutomueka kwangu..ntapambana na kazi zangu na mume wangu tu
Mwanaume sio wa kumuamini sana asee
Dec? kuna party wapi?Ukuje bas Dec
Utakuwa DJjesus!!!
Mwambie babu akupe ramani.... Tutadondosha ndafu na kisusio kitapigwa.Dec? kuna party wapi?
Mnahitaji maombi kweliSisi ni wakuaminika ila hayo mambo mengine ni ya asili hayaepukiki...jogoo mmoja anaweza tembeza kichapo kwa mitetea ya mtaa mzima...bado mtetea wa nyumbani ukaridhika na usionyeshe wivu...hiyo ni natural ya viumbe vya kiume so mtuzoee na kutuombea sana
Ngoja ajeMwambie babu akupe ramani.... Tutadondosha ndafu na kisusio kitapigwa.
Sisi ndo vidume banaUko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili.
Kwa msaada wa mama mkwe, mmepata kabinti kamemaliza darasa la saba anatafuta kazi. Kwakuwa una shida ya mlezi wa watoto umeamua kumchukua na umekubali kuwa shughuli nyingi unafanya mwenyewe ukitoka kazinicau weekends, yeye alee watoto tu.
Mwaka wa saba huu binti anapendeza . Mkeo ni mwajiriwa sasa baada ya kupata diploma. Binti huyu anakuangalia kama baba yake kwani umemlea .
Usivyo na haya unamtongoza kwa ahadi ya kuwajengea wazazi wake nyumba. Akifikiria hali ya kwao anakubali mnaanza mchezo. Mara binti ana mimba.
Mke wako anataka kumrudisha kwao , kidume unafanya jitihada zote kumpangishia chumba mjini. Anazaliwa mtoto wa kiume. Kwakuwa una two girls njia kuu, unachanganyikiwa na nyumbani unapotea siku mbili hujali kupishana vikumbo chooni kwenye shared house.
Wanaume kweli mnayaweza.
Kama yuko 21 utoto ulishaisha. Tatizo wanawake wa siku hizi mnakuwa na wivu uliopitiliza. Iga kwa masai hutapata taabu.Lakin si kuoa katoto ulikokalea kama mwanao