Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

Nchi tunaimaliza wenyewe, CHADEMA tunahitaji mabadiliko ya dhati katika kukijenga chama na sio wakati wa kulaumiana.Kimsingi mabadiliko yalenge katika nafasi za juu za chama ili kurudisha imani kwa watanzania.
 
Spika kamwambia afute kauli

spika kamkatisha kabla ya muda wake kuisha,anafaham mwigulu ni tatizo
 
Kwa kinywa chake Dr. Ulimboka aliwataja maafisa usalama kuhusika na utekaji ila leo mwigulu kageuka msemaji je yeye ndie alietekwa.,ni lini watamjibu ulimboka kuhusu maafisa usalama...
 
Kama hana hoja mapovu yote yanawatoka kwanini? Wanaume wanapoongea watoto wakiume wasikilize
 
siku hizi kuangalia bunge inataji moyo sana.!!
 
Msomi anaimba mipasho badala ya kujenga hoja!

Nchemba yeye ndio anajilazimisha kua ni msomi,lakini jamii haimuoni kama ni msomi!kwa nchi kama Tanzania usomi utatatokana na vile jamii inavyokuchukulia matendo yako na maisha yako,kwa Tanzania usomi sio vyeti,maana Tanzania kununua vyeti ni jambo la kawaida!elimu ni zaidi ya vyeti,inategemea umejikomboa vipi kifikra,na umechangia vipi kuikomboa kifikra na kimaendeo jamii iliyokuzunguka?Mwigilu is a ----
 
Safari hii CHADEMA ni lazima waombe pooooh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kweli kabisa ndugu chadema hawana ubavu wa matusi hata kidogo wamhonge mmoja hata lusinde ahame chama ili awafundishe matusi.
 
Nchi tunaimaliza wenyewe, CDM tunahitaji mabadiliko ya dhati katika kukijenga chama na sio wakati wa kulaumiana.Kimsingi mabadiliko yalenge katika nafasi za juu za chama ili kurudisha imani kwa watanzania.

Uchaguzi wa chama ni desemba au unataka mapinduzi?
 
It has gotten into his head. Kumbukeni mkutano mkuu wa CCM Mwenyekiti wake alimsifia kwa kazi yake nzuri ya kuwajibu Wapinzani. Bahati mabaya ni kuwa Msifiwa sasa is over doing it. Anataka kumpiku Nape!
 
Mwigulu wa kiume kweliii??????mbona tabia zake za kimwambaomwambao???kakaaa kama anakula kungu hivii inawezekana sio riziki huyu
 
Yawezekezana anatumia lile zao alilosema Mhe. mwenzake kwamba liuzwe kuongeza mapato!
 
Na sasa wamekaa kule bungeni wanataka kupitisha sheria, eti tuwaite 'waheshimiwa' ni kutaka ukuu tu mie ntawaita '' ndugu waheshimiwa'' Mchonga huyo!! anyway hii mipasho inayoendelea bungeni mie naamini inafanyika kwa makusidi mazima! kwa nini? Utafiti wangu unaonyesha kuwa kuna wateja wengi sana wa mipasho hivyo wanasiasa au hawa ndugu wabunge wameamua kutoa matangazo yao pale!! Good strategy!!! Na Inafanikiwa sana so why not? wataendelea tu kwani biashara inakuwa nzuri kwao, wateja ni wengi na uzuri hawana ''choice'' zaidi ya CCM na CHADEMA!!! ukitaka kuamini fuatilia mada karibu zote zinazotolewa humu JF zinaonyesha ni wateja wazuri wa Mipasho hiyo na choices zao mule mule Chadema au CCM!! kwa hiyo sio ajabu tusi likawa ni kwa Chadema lkn lisiwe tusi kwa Ccm. Niko katika kuwazua tu na inafikia kutokuwa na maana yeyote kwa mbuge kusikilizwa au kukubaliwa kutoa hoja inayowahusu Wa -Tanzania zaidi ya pambio za kujitetea tu KI-Chadema au ki- CCM, wabunge wetu wamekuwa wepesi kukimbilia kulilia wananchi kuwa kuna uonevu wakati wote tabia zao na vitendo vya ni vile vile ila kama usemi wa KUMCHINJA KOBE LAZIMA UWE NA TIMING basi anaewahi kawahi. Majuzi nilfuatilia hotuba ya January Makamba naamini wote mtakubali kuwa ilkuwa ni kwa watanzania kweli! na kwa kuthibitisha hilo naamini ingekamilika zaidi kama angewashutumu na wabunge wenzake wa CCM, kwani haikupita siku wakamuangusha kwa matusi tena!! duh. Nirudie tu Watanzania bado tunawatafakali na 2015 sio mbali kiivyooooooo!! napita tu.
 
Laana ya Uzinzi haitafutika kwa kuvunja amri ya Sita na matokeo yake tunayaona sasa

Hivi ni kweli alizini? sina uhakika! mbona kama hana uhakika kama ni mwanaume mpaka ajipigie debe? oooh poor Nchemba! akili chembe!
 
Bishanga, kwa nini umeniacha nikaanza kuingia huku?

Huyu mtu ameanza kuingia kwenye neva zangu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kubwa ni kwamba kwa kuwa kila kitu kinaendeshwa kwa ushabiki, na ushabiki huu wenyewe hauna cha kuchangua zaidi ya kuwa wewe ni CCM ni lazima uwe mshabiki wa CMM na kama wewe ni CDM, CUF au NCCR lazima ushabiki wako uendane na itikadi za chama chako. Hapo ndipo Tatizo lilipo hata pale mtu anapoamini kuwa kuna suala fulani linaendelea na anadhani halimfurahishi au ni tofauti na hisia zake hawezi kulitetea kwa kuwa tu suala hilo lina maslahi kwa chama chake. Na kama atatokea Mbunge Jasiri kama Filikunjobe kusema tofauti na Chama chake huonekana kama kichaa au ametumwa au atazomewa hadi mwisho. Hili ndilo linalosababishwa yote haya wabunge wameacha kufikiri na kufuata misingi ya kazi yao ya kuikosoa Serikali ili iweze kutenda kazi zake vizuri. Mtindo huu unaweza kuisha endapo wabunge wataacha kuwa mawaziri lakini kama tutaendelea hivi siyo rahisi. Ushabiki utaendelea na bunge litabaki kuwa kazi ya watu wasiojua kufikiri. Commedian ndiyo watakuwa wanafaa kwa kazi hiyo maana wanahitaji kuendelea kuigiza. Kinachofanyika sasa hivi katika bunge letu ni maigizo siyo sehemu ya watu wenye maoni na wanaoelewa misingi ya kwa nini wako pale kwa jengo zuri. Kwa ujumla ni hatari. Lakini cha zaidi sisi wananchi ambao nadhani tuna nguvu na uwezo wa kubadili hali hii naona pia tunaendeshwa na ushabiki na maigizo haya ambayo nadhani siyo afya kwa mustakabali wa maendeleo ya Tanzania ya leo na vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom