Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Ujumbe murua kabisa. Haujakosea, ndoa inataka kutunzana (nae mume ana majukumu yake).

umeharibu tu hapo mwisho. Kwako atakuja, nyumba ndogo ni ndogo tu mamii, hadi ije kuwa kubwa inahitaji ushirikiano wa ile kubwa kabisa. Kwa hiyo cheza kwa stepu mdogo wangu.

Amesahau Heshima kwa mwenye mali ni muhimu sana , kwani akiachiwa hiyo nyumba hataweza kuibeba. (sijui ataipeleka wapi?)
 
Hahaha umemshtukia eeh? Kila mtu angepata mume ama mke part time, ingekuwa raha sana aisee. Ila sasa kuwa mchepuko wa mtu nayo ni kipawa khaa!
aaaahhhh nilikuwa sijakusoma...kumbe ni tangazo la bashara....

Mnaotaka nyumba ndogo njoeni pande hizi....
 
Wengine watakuja kukuambia wanahitaji hamsini kwa hamsini hapo
 
Sawa kabisa umenena ila asilimi 70 kwa sasa ni wanawake wasioweza hayo na hasa ukianzia 80s kuja juu huku mpaka 90 hamna kitu yani kaka zetu ni majanga matupu
 
Umeona eeh...ameshindwa kumpikia 'boyfriend' mpaka apagawe atangaze nia ... mume wa 'Nyumba kubwa' atamuweza wapi? Mbona atapika mpaka avunje mwiko lakini atashanga 'promotion' hakuna...




Hahaha umemshtukia eeh? Kila mtu angepata mume ama mke part time, ingekuwa raha sana aisee. Ila sasa kuwa mchepuko wa mtu nayo ni kipawa khaa!
 
Ni kweli usemayo but wamama wengi wanapooelewa huwa na hamu ya kufanya mambo haya lakin akishakaa mwaka katika ndoa na akazoeana na mumewe ndio anaanza kujisahau, Lakin ukiiangalia sana hii si mwanke peke yake msababishaji hata wanaume husababisha mwavamke kuwa mchafu, au kutomuhudimia, nitakuja kuifafanua ngoja nifuturu
 
Back
Top Bottom