Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
 
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

There are 2 kind of Hero!!!!!!!!

1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!

2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!

SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
i dont flit outside my marriage nna sababu kuu moja! I lived to see my closest yaani very closest people toka wanaanza ku flirt mpaka wote wanakufa na UKIMWI takriban 3 baba wadogo! Washkaji wa kitaa. Iliniuma sana nikaweka vow kwamba nikioa sitaki kuwa chanzo cha misiba.
 
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

There are 2 kind of Hero!!!!!!!!

1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!

2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!

SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!

which group do you belong?
 
Kuna kanga imeandikwa RAHA YA MUME MUWE MMEOLEWA WANNE.Na nyie wanawake mbadilika mkisha olewa,mnanyeyekea mwanaume kabla ya cheti cha ndoa,mkishapata cheti basi kiburi na tabia kubadilika.Mwanaume wa ukweli ku beep muhimu
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

vipi kuhusu wanawake wanatoka nje?
 
Mbona lawama zote wazielekeza kwa wanaume utadhani huwa wanajifanya wenyewe.
Jambo la muhimu ni kwa wanawake kuacha pia kugawa mbunye hovyo hovyo, kwani si lazima mkitongozwa mkubali.
Kumbuka kujaamiana hakukamiliki pasipo jinsia mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom