Napata shida sana na hili. Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini cha ajabu, kuna baadhi ya wanaume ambao wanafanya kazi. Kila siku unamkuta mtu amesimama mbali na kituo cha daladala utafikiri anasubiri gari la ofsini kwao kumbe sio. Kila akipita mtu unakuta kazi ni kuchungulia kwenye vioo vya gari na kupiga mkono kama trafik. Ukiwa job anapiga unatoka saa ngapi ili apande tena wakati wa kurudi home.
Jamani kwa nini wanaume tunajifedhehesha hivi? Mtu anakupa lift maramoja na pale ambapo kweli kuna shida ya usafiri na wewe, jaribu kukaa hapo kwenye kituo cha mabasi na wenzako. Wanaume tusipende sana kudandia lift maana ni fedheha. Mambo haya yalikuwa kwa wanawake zamani lakini siku hizi yamehamia kwa wanaume!
Najua wengi wataponda lakini ukweli ndo huo! Mi na mke wangu hatukuwahi kudandia lift ya mtu, tulikwa sisi na daladala kila siku! Hata kama gari imeleta tatizo tulikuwa tunawahi kupanda daladala. Iweje wasio na magari wapende sana lift utafikiri shida hawana?
tren la makyembe si linaishia kwenu tu na linataka timing kama kumchinja kobe
aa wapi ni kuwa na discipline ya kuwahi kuamka.........
Tehe tehe! Nakumbuka jamaa moja kila akipanda kwenye gari langu anasema nizime A/C eti hapatani nayo! Nilipomuuliza kulikoni, akasema anashindwa kupumua eti baridi inambana wakati hata pumu. Sasa sijui itakuaje siku atakapopanda ndege!
Napata shida sana na hili.
Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na
pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini
cha ajabu, kuna baadhi ya wanaume ambao wanafanya kazi. Kila siku
unamkuta mtu amesimama mbali na kituo cha daladala utafikiri anasubiri
gari la ofsini kwao kumbe sio. Kila akipita mtu unakuta kazi ni
kuchungulia kwenye vioo vya gari na kupiga mkono kama trafik. Ukiwa job
anapiga unatoka saa ngapi ili apande tena wakati wa kurudi home.
Jamani kwa nini wanaume tunajifedhehesha hivi? Mtu anakupa lift maramoja
na pale ambapo kweli kuna shida ya usafiri na wewe, jaribu kukaa hapo
kwenye kituo cha mabasi na wenzako. Wanaume tusipende sana kudandia lift
maana ni fedheha. Mambo haya yalikuwa kwa wanawake zamani lakini siku
hizi yamehamia kwa wanaume!
Najua wengi wataponda lakini ukweli ndo huo! Mi na mke wangu hatukuwahi
kudandia lift ya mtu, tulikwa sisi na daladala kila siku! Hata kama gari
imeleta tatizo tulikuwa tunawahi kupanda daladala. Iweje wasio na
magari wapende sana lift utafikiri shida hawana?
Lift zinakera,wakati mwingine unafikia hatua ya kununua gari si kwa kwa kupenda bali mazingira yanakulazimisha.Unakuta hata ndugu yako wa karibu mnashindwa kuelewana.Watu walio wengi ukijitolea kumsaidia,anageuza msaada kuwa ni wajibu.
KAMA HAKUNA ALIYEZALIWA NA GARI LAKE NA PIA HAKUNA ALIYEZALIWA AKIWA AMEPANDA DALADALA.Komaeni na daladala Muumba akileta heri vuta mkoko wako.
nimeupenda uzi huu kwa sababu ya kushangaza kidogo ,actually kwangu ni kubwa mno!
NIMEPENDA VILE UNAMZUNGUMZIA MKEO HUMU!
love it brother keep it UP!yatakaa sawa tu!hayo ya lifti mi wala hayajanishughulisha!
hebu pitia tena post zako kweny thread hii!
thank yu very much!
Naona tunasimangwa sisi masikini tusiokuwa na vyombo yvya usafiri,ipo siku nasi mungu atakuja kutupa,na akitupa tutawasaidia ambao watakuwa hawana!!Mleta mada hivi vitu vinapatikana tu ndugu yangu,tunavitumia,tunaviacha, mwenzako kama hana msaidie.
wenye magari ya mkopo utawajua tu, masimango kwa kwenda mbele
nimeupenda uzi huu kwa sababu ya kushangaza kidogo ,actually kwangu ni kubwa mno!
NIMEPENDA VILE UNAMZUNGUMZIA MKEO HUMU!
love it brother keep it UP!yatakaa sawa tu!hayo ya lifti mi wala hayajanishughulisha!
hebu pitia tena post zako kweny thread hii!
thank yu very much!
WAKUWAACHE UPUMUWE!mimi love it love it!MUNGU AWABARIKI SANA!nina furaha sana kwa ajili yenu!SANA!Wakati natangaza hapa kwamba ninashida, watu walifikiri natania. Nilipopata ushauri humu, nikautumia vizuri. Sasa waliokuwa wanasema natunga wanaaibika kwa vile wanaona mambo yangu yanaanza kuwa imara! Jamani yasemwayo yapo! Mwenyewe nimejionea hapa. Kuna baadhi ya watu humu wanauzoefu na ushauri mzuri sana. Ila wengine ni wapotoshaji. Haya nayaacha haya ya mke wangu maana sipendi kuyachokoza tena. Asante snowhite for your observation that i now mention my wife.
Kaka, mbona umenizidi ujanja kwa mbali hivyo? Umenifurahisha sana!
Mie nikipewa lift na mdada na akiwa mwenyewe haponi, Lazima anipe tundi ili aendelee kutoa lift...............!:becky:
Na nampa shughuli ya ukweli mpaka anachanganyikiwa............!:madgrin: