Wanaume wanaopenda lift....


WANAUME BANA, Mna yenu nyie c bure angekua muomba lift mdada hata mwaka mzima ukimpa na tena ukimfata hadi mlangoni na kumrudisha , kwa kua vidume wenzio umeona haina maslah, ila we mmmbbbbaaaaayyyyyaaaaaaaaaa

Maisha ni safari.
 

uko na my waifu wako mnashindwa hata kuja**a..inahuuu.....
Asprin uko wapi? nimekumiss
Niko hapa mpenzi na mke wa ujana wangu. Eti kuna mtu anataka lifti ya Tukutuku yetu?

Afu eti my love, hiyo kuja**a ulikuwa unamaanisha kuachia naniliyu sio..... Hahahahah wenzangu wameoa wake mi nimeoa mke wa ujana. LOL

Me luvs you saaana N'ke ya ujana wangu BADILI TABIA..... soooo very much....:A S 100:
 
Last edited by a moderator:

Hii kitu inasumbua sana aisee...unakutaunapanga mipango na wife mara unaona jamaa kasimama katikati ya barabara...... ilinifanya ninunue pick-up.....na huku kwetu kulivyo na vumbi walikomaje...sasa ivi mimi ndo nawaomba wapakie...wakiniona nakuja wanajificha ili nisiwabebe ..teheteheh. na wengine wanajifanya wanaongea na simu..
 

Kaka, mbona umenizidi ujanja kwa mbali hivyo? Umenifurahisha sana!
 

Ambao hatuna magari tutakoma,ila mkumbuke hivi ni vitu vya kupita tu,hao unaowadharau ndiyo watakao toa msaada pindi ukipata matatizo.Haya mkuu maisha mema na gari zenu!
 

Hongera kwa kununua gari
 
nimeupenda uzi huu kwa sababu ya kushangaza kidogo ,actually kwangu ni kubwa mno!
NIMEPENDA VILE UNAMZUNGUMZIA MKEO HUMU!
love it brother keep it UP!yatakaa sawa tu!hayo ya lifti mi wala hayajanishughulisha!
hebu pitia tena post zako kweny thread hii!
thank yu very much!
 
Hahahahahahahaha
hapa ngoja nijifiche


 
Last edited by a moderator:

kama hupendi c unamwambia tu kulalamika kwenye mitandao haiondoi tatizo linalokukera watu wote wangedrive c ingekuwa hapatoshi ndugu magari ni vitu vya kupita visikutese namna hiyo kwani ukibeba mtu unapoteza nini?hupendi wambie sipakii
 
Ambao hatuna magari tutakoma,ila mkumbuke hivi ni vitu vya kupita tu,hao unaowadharau ndiyo watakao toa msaada pindi ukipata matatizo.Haya mkuu maisha mema na gari zenu!

pole sana mkuu...usijali ni kupanga tu
 
ahahahaaaaas...una akili sana mkuu..unajua tunaovikuta ukubwani ni lazima uonyeshe kidogo

Kweli mkuu IGWE hii ni athari ya kuyajulia magari ukubwani mpaka inafika hatua mtu anakuwa hata utu, utu kwanza gari baadae
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa mpenzi na mke wa ujana wangu. Eti kuna mtu anataka lifti ya Tukutuku yetu?

Afu eti my love, hiyo kuja**a ulikuwa unamaanisha kuachia naniliyu sio..... Hahahahah wenzangu wameoa wake mi nimeoa mke wa ujana. LOL

hubby pale penye nyota ni kupumua kinyume nyume.......

Halafu jioni tusimpe lifti jirani, tutashindwa hata kukumbatiana kwenye tukutuku yetu.........

Halafu hubby si unaona faida ya kuoa mke wa ujana wako? Tupo strong..........lifti za majirani hazitusumbui
 

kumbe na wewe umegundua eeeh? Ndo maana nimemuunga mkono kwa nguvu zote loh
 
Umeona eh? Ndo maana sitaacha kukuoa kila siku.

Yaani sie tukope vijisenti kwa wakoloni zetu, hata madeni hatujafikisha nusu kulipa afu majirani waje wadandie tuuu?

Watajijeijei....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…