Wanaume wanaopenda kununa

Inshu siyo kununa shida ni sababu hakuna mwanaume anayenuna ila tu anatafuta sababu ya kukuacha kwa sababu amechoshwa na tabia yako maana hata angesemaje huwezi kutii yawezekana mpalange hataki lkn wewe ni kulazimisha tu

Vibomu pia weekend ni kuvuna tu ATM yake lzm atafute namna ya kujinunisha tu ili asitafutwe hahahaha
 
Mwanaume mwingine anathibiiti hasira kwa kununa laa sivyo anaweza kuchukua nondo akakupiga nayo kichwani. Shukuru Mungu.
Kimsingi sio kununa,huwezi kukwazika ukaanza maneno ya kujibizana na mwanamke wengine hatuwezi ila tunachukua njia ya kukaa kimya kuepusha shari maana maneno yakiwa mengi kifuatacho ni majeraha ya damu so bora kukaa kimya hadi hasira zikiisha ndio mambo mengine yaendelee.
Wanawake wengine ama huwa hawataki kuomba msamaha au sio wepesi wa kufanya hivyo sasa akiwa wa hivyo ni rahisi kugombana ,ko ukikaa kimya na kumuangalia tuu ataogopa.Wengi wa wanaojisemesha humu ndani ni wavulana hawajaoa,wanaishi maisha ya kiboyfriend na girlfriend.Umewahi jiuliza kwa nini wanaume wengi ni walevi na hawapendi kuwahi kurudi nyumbani au kukaa nyumbani hata weekend? jibu ni kero za wanawake na hata ukienda familia nyingi za wanandoa hakunaga mazungumzo ya urafiki wa boy na girlfriend,hii inakupa picha kwamba ukimya huwa unatamalaki mda mwingi,mazungumzo ni ya mambo ya msingi tuu
 
Ni kweli kuna mtu hapa ana pesa sana lakin ananunua hovyo na mbaguzi balaa wanawake wa ndoa wamemkimbia
 
Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana.

Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna.

Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii huwa hawawezi hata kuishi kwenye maisha ya ndoa.

Acheni kununanuna ovyo wababa
Wengi wamejazana huko chama twawala.
 
Inshu siyo kununa shida ni sababu hakuna mwanaume anayenuna ila tu anatafuta sababu ya kukuacha kwa sababu amechoshwa na tabia yako maana hata angesemaje huwezi kutii yawezekana mpalange hataki lkn wewe ni kulazimisha tu

Vibomu pia weekend ni kuvuna tu ATM yake lzm atafute namna ya kujinunisha tu ili asitafutwe hahahaha
Yaweza kuwa anashiba vitumbua fresh kabisa ila analazimishwa na mboga za majani(kisamvu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom