Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

Hpana mazee kila kitu ukifanya mazoezi mwili huwa unatabia ya kujenga mazoea. Kuna watu wanauwezo wa kufunga mabao matatu hadi maanne kwa siku moja. Sasa mtu wa aina hoyo akifanya kwa intavo ya gori moja moja kila siku anuwezo wa kuwamudu pasipo kusaidiwa lkn ikumbukwe kuwa lazima ule vizuri.
 
Hpana mazee kila kitu ukifanya mazoezi mwili huwa unatabia ya kujenga mazoea. Kuna watu wanauwezo wa kufunga mabao matatu hadi maanne kwa siku moja. Sasa mtu wa aina hoyo akifanya kwa intavo ya gori moja moja kila siku anuwezo wa kuwamudu pasipo kusaidiwa lkn ikumbukwe kuwa lazima ule vizuri.
Yep...
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?
Wewe ndugu yangu una wake wangapi?
 
Mkuu hata mimi nishawahi kukaa chini nikafikiria hili suala, sio kwamba tunaingilia imani za watu, hapana, ila kiukweli naona kama hawa wanawake hawapati wanachostahili ipasavyo ukizingatia wimbi la wanaume wenye matatizo ya uzazi limekuwa kubwa sana. hata hivyo kiasili na kimaumbile mwanamke ana nishati kubwa sana ndani yake kuliko mwanaume hasa kimaumbile zaidi. sasa najiuliza hawa wanaume wanatimiza kweli majukumu ya kimaumbile ipasavyo? nauliza tu!
Na wewe Ndugu yangu una wake wangapi?
 
wengi wanachapiwa sana mkuu.

huo ndio ukweli.
Unadhani kwamba suala la kuchapiwa ni kwasababu ya kuwepo wanne au ni hulka ya mtu?
Nyumba ngapi zina Mke mmoja na mwanamke haishi kuchapwa nje kila uchao?
 
Kwakweli sasahiv wengi wao ni tamaa...hawafuati maagizo ya M'Mungu yanasemaje
Kuoa wanawake wengi hakuhusiani na maswala ya kiimani tu, kuna wakristu wengi tu, wameoa weke wengi. Hii inatokana ndoa za Kiislam, kimila na ya Serikali, baadhi ya makabila kama huna wake wawili au zaidi, hutoshi kupewa uongozi wa kijiji. Nishawahi kumuona mzee wangu mmoja mwenyeji wa Musoma aliekua akiishi huko Nachingwea, alikua na wake Saba Nemba umasaini uone. Wakati wewe unaoa kwa kwa mahitaji ya ngono, wengine hicho sio kipaumbele chao, wao huangalia biashara zao, kilimo na shuguri zingine za kiuchumi, lakini wamasai ukiwa mgeni kwenye boma lake, halafu lika moja anakuchagulia nyumba ya kwenda kulala, ambako kuna mke, unajua nyumba za asili za kimasai hazina vyumba, kwa hiyo kila anapoongeza mke humlazimu kumjengea banda lake. Kwa hiyo ukiwa mgeni wa kiume mzee hukuelekeza ukalale kwa mke gani, ila siku mkikorofishana huko kwenye pombe, na yule aliyekukalimu, atakuchamba: Wewe una nini umekuja kwangu nimekupa chakula, nimekupa mke alafu unasema sema hovyo hapa unanini wewe, ni mila au tamaduni tu.
 
Mi ninaye mke mmoja ila nachapiwa hatari, sijui ni hiki kyepe yai cha mdsm
 
Kulea wanawake wanne siwezi ila kugonga wanawake wanne kila mmoja nmpa haki yake hata mara 3 au 4 kwa mwezi sishindwi hata kidogo
Umeongea sahihi Mkuu,kawaida mwanaume anaweza kuchapa hata k tano kwa siku provided kuwa haijirudii.Yaani unatoka kwa bi 1,2,3,4 na mwisho yule unaekwenda kulala nae the whole night. Mbona wengine unakuta anamichepuko yake 3 kwa siku na wife anapata haki yake![emoji2] [emoji2]
 
Nnawashauri mtafute kitabu kinachoitwa The Perfumed Garden cha Sheikh Nefzawi, kinapatikana mtandaoni bure. Mjisomee mtajielewa.
 
Ndoa ni kama maisha zinachangamoto nyingi
Ila vipo visababishi vya uchapiwaji ila zaidi tabia ndio la msingi
nakumbuka zamani mtu anaenda masomoni miaka mitatu na mke anamkuta salama na hata mawasiliano ilikua hakuna ila leo ukitoka wiki tu na mnaongea kila siku na unachapiwa na haijalishi unamhudumiaje
 
Back
Top Bottom