Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

Wanaume wanaooa wake wanne ni "danger"

kuna watu wananishati zao mi nishaona mmoja mke kamuomba kabisa jamaa aoe mwengine amsaidia mana jamaa akiamsha ni balaa tena ni 7/30
 
Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]

inategemea hiko kimoja chenyewe umekipata ktk mazingira gani
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?
Tatizo unajilinganisha na wenye uwezo wakati unashindia viepe. Mkuu k ni kazi tuachie sisi tunaowamudu.

Raondi ya moja tu anaomba poo nashidwa kuwabeba wanne?
 
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?

Hawa ni wanaume au maroboti?

Sio wamaume tu ni wanaume mashababi alafu wanawake wote wanne wanaridhika.
 
Kuna tofauti gani ya aliyeowa wake wanne na mume mwenye michepuko?
 
wanaume kushinda juu ya viuno...

kuna mwanaume kagawa I phone huko kwenyw futari ya wageni... kigambon nyumba kama bevery hills...

mwingine kaoa dada yetu miss world wetu

mwingine ni babu lakini anapiga mtu mapacha tu...

uanaume majukumu sio goli 10 au wake mia
 
hahaaaaaaaa magoli waachie dildo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Huko Daa kazi yenu umbea tu na kujisifia mtawezaje kuwatimizia? Kila kitu mnasaidiwa tu njooni mikoani tuwafundishe tunavyowaridhisha wake zetu,mbona rahisi tu,huu mchezo hauhitaji hasira
 
Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ww unamridhisha nayy anajikojolesha ww unatumika kama utelezi
 
Kulea wanawake wanne siwezi ila kugonga wanawake wanne kila mmoja nmpa haki yake hata mara 3 au 4 kwa mwezi sishindwi hata kidogo
 
The prevalance of HIV transmission to polygamists is very high, especially in coastal areas. I know what I am talking about!
 
Back
Top Bottom